Nilifanikiwa kufungisha ndoa

Nilifanikiwa kufungisha ndoa

Nashukuru Mungu sijawahi jaribu wala kutamani kuvuta bangi japo nilizungukwa na marafiki bangi na dawa
Wengine classment washakufa sababu ya dawa ila sijawahi jaribu

Kundi la king'oko pale mikocheni liliharibu vijana wengi sana
 
Bingi ilinifanya niwe naichambua hii dunia sana....

Daah nikaona ni bora niache asee
 
inategemea unavuta bangi gani stativa au indica,
huwezi kuwa chizi kwa kuvuta bangi.

anza kidogo kidogo, leo robo pisi, kesho nusu pisi, kesho kutwa pisi moja, mtondo go unavuta pisi 2, mpaka baadae kwa siku utakuwa unavuta pisi 12.

kuipa ubongo chakula...
Mh....mimi nilivuta Bangi....hadi Leo siamini yaliyonikuta
 
Back
Top Bottom