Nilidhani ni story kumbe Kweli

Pole sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi umenichekesha
 
Cha kumfanya kitajulikana hapohapo kwa kweli
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kama unakosa unanyamaza tu.
Simu ni kitu kidogo sana kwenye mapenzi.
Rafiki yangu wa kiume aliivunja simu na kutafuna line ili gf wake asione mawasiliano ya mchepuko.
Alisema "bora kuvunja simu na line kuliko yeye angeona mawasiliano" atakuwa na wasiwasi lakini ushahidi hana.
 
Mimi pia simu yangu ilipasuliwa dah [emoji53] nikikumbuka simu yangu still ilikua mpya..!!halafu cha ajabu zaidi sikua na kosa lolote ni mawazo hasi tuh ndo yalipelekea kupoteza simu yangu!!!
 
Mimi pia simu yangu ilipasuliwa dah [emoji53] nikikumbuka simu yangu still ilikua mpya..!!halafu cha ajabu zaidi sikua na kosa lolote ni mawazo hasi tuh ndo yalipelekea kupoteza simu yangu!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukafanyaje alipovunja??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukafanyaje alipovunja??
Nilichukua simu yake akabaki na kiswaswadu [emoji53] mpaka leo hii simu yangu inaniuma sana nikikumbuka
 
Mi nlivunjiwa na mke wangu hata sikumgusa sana tu nlichukua hela ingine kesho yake nikanunua simu ya gharama kubwa zaidi na ya fingerprint. Nikawa nimemaliza mchezo
 
Nilikuwa na hasira na huwa sijali nikikasirika.... Alinipiga vibaya mnooo nakwambia nusu nife.... Ilifikia stage alinibana nikashindwa kupumua sijui nilipata wapi nguvu ya kusema "unaniuwaaa" akaniachia
Haahhhahahah nimecheka kwa jinsi ambavyo umesimulia ila huwa siamini ktk kumpiga mtu ndio suluhu

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…