Nilidhani ni story kumbe Kweli

Nilidhani ni story kumbe Kweli

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,164
Reaction score
43,856
Kuna jamaa angu tunafanya naye kazi, sasa jana kaja ana simu ndogo mpyaa nikamuuliza vipi ndugu simu yako ile smart ipo wapi? Jamaa akasema demu wangu alikuta msg za mademu wengine akaivunja kisha kaitumbukiza kwenye maji.

Aiseh! Nilishangaa sana how yani? How? Halafu jamaa hadi leo hajamwambia chochote kuhusu ile simu wanachat tu kawaidaa

Wadada punguzeni visirani.
 
Kwanza simu yangu huyo demu anashika ya Nini.. ?? Hilo ndio swali langu la msingi
 
Kweli bhana,
Katoto kakiwa katundu kitandani,

Hata kakivunja I phone sikaachi.

Sema ng'ombe zengine mapenz hazijui alafu, usumbufu kibao.
Haa ha ha.. watu wanapasuliwa magari vioo kabisaa
 
Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
 
Aisee ni balaa sanaa... Hivi hapo hata hukuogopa kama anaweza kukupiga vibaya sana??
 
Hongera,

Unaonekana ni mtu mwenye uthubutu.

Utakua na Experience na mengi, nyie ndio kwenye ndoa huwa mnatulia kabisa na mnajua kuchagua mume.
Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
 
Nilikuwa na hasira na huwa sijali nikikasirika.... Alinipiga vibaya mnooo nakwambia nusu nife.... Ilifikia stage alinibana nikashindwa kupumua sijui nilipata wapi nguvu ya kusema "unaniuwaaa" akaniachia

Back
Top Bottom