Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Inategemea Niko wapi. Yani ninapoenda hata iweje siwezi tumia 110k peke yangu.
Hata nikijitoa najitoa ninapopamudu na siwezi kutumia zaidi ya nilichokipanga.

Mimi kama mimi nikitumia sana labda 50k tena hapo sehemu ya kawaida tu. Sasa watu wawili wanaoenda Mediterrano bia elfu 5 sijui 6, chakula kuanzia 25k kwenda juu, cocktail kuanzia 15k. Kweli utasema mmeenda wawili kwa hela hiyo mkatumia?

Halafu hapo wala sio matumizi aliyofanya na mrembo Bali kuchanika msamba kufurahisha kitu alichoamini kinastahili kufurahishwa huko.
Angemchukulia msichana wa kawaida hata kama angekua matawi angempeleka sehemu ya kawaida sio kumpeleka hotel kubwa ili na yeye aonekane matawi kwa mwanamke.

Jamaa yako alitaka kufake maisha kwa mwanamke ila mwanamke kamuonyesha uhalisia wake
Subiri twende taratibu...
Ni kweli unaweza wewe kama wewe kujitoa out ukala na kunywa na kuspend ukatoa bill ya 110k wewe mwenyewe? Bila kulipiwa na mtu au kutumiwa mpesa ndio utoke out? Ni kweli unaweza'??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes uko sahihi yaani inavyoonesha huyu jamaa ni muigizaji wa maisha halafu akakutana na muigizaji mwenzie halafu mwisho wa siku anaanza kulaumu.
Watu wanaoishi maisha real huwa hawana muda wa kumchunguza demu katokea wapi huwa tunalipia bili tunayoimudu na sio kwa kuigiza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu karunguyeye kama huyu kashajionyesha hivo akikadiriwa kodi ya papuch(hongo) kubwa mzinga laki4 au 5 anakuja kulalamika

Wakat alishamuonesha dem anaweza kuteketeza 110,000 usiku mmoja tu

Ukiishi real raha sana. Mizinga buku10 au 20
 
Ndio maana nakwambia wewe Bado ni mgeni kwenye hayo mambo na hujui wanawake wanataka nini!
Wewe hujawahi kuona mke au demu wa mtu mwenye pesa nyingi Sana na anamgharamia kila kitu atakacho halafu mwisho wa siku anakuja kuliwa na dereva wa bodaboda ambaye hata bodaboda yenyewe sio yake?

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaaan huyu juniyaaa kinoma. Bado hajaelewa gemu
 
Halafu karunguyeye kama huyu kashajionyesha hivo akikadiriwa kodi ya papuch(hongo) kubwa mzinga laki4 au 5 anakuja kulalamika

Wakat alishamuonesha dem anaweza kuteketeza 110,000 usiku mmoja tu

Ukiishi real raha sana. Mizinga buku10 au 20
Wewe ndio Kama Mimi yaani huwa sijipi presha kabisa unampa demu hela uliyonayo na Bado status haishuki Hadi demu anaenjoy kuwa na ww,na hata akikutishia kukuacha Bado huwazi yaani yeye ndio ataumiza kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
subir uone wiki hiii lazima nikupate
Labda angekuwa nanii wangu yule alozinguaga kipindi kile.......nlimpenda bila kujali/kujua ana gari, ndinga au pikipiki, amepanga au kajenga vile vilikuwa ni vyake na nliamua kumpa moyo wangu tu😥😥😥😥😥😥
 
mwanaume wa sampuli hii akikuoa jiandae kupata msongo wa mawazo kwa masimango
si kwa povu hilo kisa laki

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wa ivo usiombe ukaolewa naye hauna kipato cha kuwasiadia kwenu ata kwa vitu vidogo vidogo dah utaskia anasimlia marafiki wooote yeye ndo dangote wa kwenu
 
Wewe ndio Kama Mimi yaani huwa sijipi presha kabisa unampa demu hela uliyonayo na Bado status haishuki Hadi demu anaenjoy kuwa na ww,na hata akikutishia kukuacha Bado huwazi yaani yeye ndio ataumiza kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Juniours/Amateurs ndo wanahangaika ila wakongwe ni kazi rahisi sana kama kumchinja kobe vile. Halaf na dem anakuheshimu pia ukiwa yourself. Sasa unapeleka dem sehem nje ya uwezo wako halaf unabaki kusikilizia maumivu wakat kulikua na options???? Amaizing
 
Sawa ila watoto wakal utawaskia tuu na kuwaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe umemuona asha boko umefananisha na beyonce, huyo mwenyewe kakuchanganya,amebusu rangi hlf kakupagawisha unalipa 110k na papuchi hujala

Ukikutana na watoto wakali utauza nyumba

Junia kabisa wewe
 
Labda angekuwa nanii wangu yule alozinguaga kipindi kile.......nlimpenda bila kujali/kujua ana gari, ndinga au pikipiki, amepanga au kajenga vile vilikuwa ni vyake na nliamua kumpa moyo wangu tu😥😥😥😥😥😥
ndo mwenyew sasa unadhani ningejiamini kwa kujipa wiki moja andaa papuchi tu hapo
 
Ok ,swali la msingi je ana chura?
Ova
Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.

Mimi nikatangulia, alichelewa sana ila alikuja. Stori za hapa na pale nini, alikuwa kapendeza sana. Alivaa kagauni kanaishia mapajani, msafiiii, kapaka mafuta anang’aa yani.

Sasa jana nilikuwa Sinza ,opposite na mcity naosha ndinga pale karibu na Katalunya ya zamani akanitext "nimekuona nakuja hapo”. Akaja baadae tukaenda Mediteraneo Hotel, si unajua pale uzungu mwingi. Tulikaa hadi usiku, bill kama 110,000.

Usiku ikafika ikabidi nimrudishe nyumbani,akaniambia anaishi maeneo ya Survey pale. Dah! Nilishangaa sana anapoishi hadi nikajutia kwamba huyu kumbe sio matawi ningempeleka tu hata Calabash, nisingeingia gharama.

Nikakumbuka lunch samaki samaki pale roho ikaniuma. Msichana mkali unameet nae Mlimani city unadhani matawi unamtoa masehemu makubwa makubwa unaingia gharama kumbe ni wa kawaida sana ungeweza mpeleka hata kwenye chips vumbi tu!

By the way sijamla bado, ila soon

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juniours/Amateurs ndo wanahangaika ila wakongwe ni kazi rahisi sana kama kumchinja kobe vile. Halaf na dem anakuheshimu pia ukiwa yourself. Sasa unapeleka dem sehem nje ya uwezo wako halaf unabaki kusikilizia maumivu wakat kulikua na options???? Amaizing
Yes na demu anaangalia upepo wako unaendaje ukimpeleka sehemu ya kawaida atakubali na ukimpeleka sehemu ya gharama pia ataenda hasara ni kwako ww.
Yaani Mimi demu wa kunipa presha na kutumia gharama kubwa labda awe katokea marekani ndio nitasaka sehemu ambazo zinakaribiana na kwao alikotoka lakini hawa wa Bongo ambao tunakula nao ugali na wali maharage hawanipi shida kabisa

Safi sana.
 
Back
Top Bottom