Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

hahahaha. huyo demu nishamjua aisee [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.

Mimi nikatangulia, alichelewa sana ila alikuja. Stori za hapa na pale nini, alikuwa kapendeza sana. Alivaa kagauni kanaishia mapajani, msafiiii, kapaka mafuta anang’aa yani.

Sasa jana nilikuwa Sinza ,opposite na mcity naosha ndinga pale karibu na Katalunya ya zamani akanitext "nimekuona nakuja hapo”. Akaja baadae tukaenda Mediteraneo Hotel, si unajua pale uzungu mwingi. Tulikaa hadi usiku, bill kama 110,000.

Usiku ikafika ikabidi nimrudishe nyumbani,akaniambia anaishi maeneo ya Survey pale. Dah! Nilishangaa sana anapoishi hadi nikajutia kwamba huyu kumbe sio matawi ningempeleka tu hata Calabash, nisingeingia gharama.

Nikakumbuka lunch samaki samaki pale roho ikaniuma. Msichana mkali unameet nae Mlimani city unadhani matawi unamtoa masehemu makubwa makubwa unaingia gharama kumbe ni wa kawaida sana ungeweza mpeleka hata kwenye chips vumbi tu!

By the way sijamla bado, ila soon

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyo kila kitu ukionacho ndivyo kilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes uko sahihi yaani inavyoonesha huyu jamaa ni muigizaji wa maisha halafu akakutana na muigizaji mwenzie halafu mwisho wa siku anaanza kulaumu.
Watu wanaoishi maisha real huwa hawana muda wa kumchunguza demu katokea wapi huwa tunalipia bili tunayoimudu na sio kwa kuigiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anadhani dem ni wamatawi ya juu ili asiombwe hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ajui kama madem wa uswazi ndiyo wanao pendeza na wazuri kuliko wa matawi ya juu, unaweza kumkuta house girl mzuri kuliko watoto wa bosi wake, ukienda kichwakichwa kama mtoa mada utajua house girl ni kwao alafu wenye kwao ndo house girl.
Ndo maana tunawaigiziaga. Mnapenda sana kudanganywa. Kwahiyo ulimjudge ni matawi kwa kuwa alivaa akapendeza? Yani mtu asipendeze kisa sio matawi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.

Mimi nikatangulia, alichelewa sana ila alikuja. Stori za hapa na pale nini, alikuwa kapendeza sana. Alivaa kagauni kanaishia mapajani, msafiiii, kapaka mafuta anang’aa yani.

Sasa jana nilikuwa Sinza ,opposite na mcity naosha ndinga pale karibu na Katalunya ya zamani akanitext "nimekuona nakuja hapo”. Akaja baadae tukaenda Mediteraneo Hotel, si unajua pale uzungu mwingi. Tulikaa hadi usiku, bill kama 110,000.

Usiku ikafika ikabidi nimrudishe nyumbani,akaniambia anaishi maeneo ya Survey pale. Dah! Nilishangaa sana anapoishi hadi nikajutia kwamba huyu kumbe sio matawi ningempeleka tu hata Calabash, nisingeingia gharama.

Nikakumbuka lunch samaki samaki pale roho ikaniuma. Msichana mkali unameet nae Mlimani city unadhani matawi unamtoa masehemu makubwa makubwa unaingia gharama kumbe ni wa kawaida sana ungeweza mpeleka hata kwenye chips vumbi tu!

By the way sijamla bado, ila soon

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa we nae Kama Bint Mzuri vingine vya nini? au tu assume utamuoa haya ukimuoa unampango kwa kuamia kwao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu niko pamoja na wewe
ukitaka demu classic hapa jijini ni lazima kupretend hasa kwa wanaume wa kawaida tu
lasivyo utaishia kupigwa chini kila siku
Mnao wapata kwa kupretend ni vichwa panzi, regardless ya umri wao.
Wadada wanaojielewa huwa hawaangalii hizo show off.
 
Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.

Mimi nikatangulia, alichelewa sana ila alikuja. Stori za hapa na pale nini, alikuwa kapendeza sana. Alivaa kagauni kanaishia mapajani, msafiiii, kapaka mafuta anang’aa yani.

Sasa jana nilikuwa Sinza ,opposite na mcity naosha ndinga pale karibu na Katalunya ya zamani akanitext "nimekuona nakuja hapo”. Akaja baadae tukaenda Mediteraneo Hotel, si unajua pale uzungu mwingi. Tulikaa hadi usiku, bill kama 110,000.

Usiku ikafika ikabidi nimrudishe nyumbani,akaniambia anaishi maeneo ya Survey pale. Dah! Nilishangaa sana anapoishi hadi nikajutia kwamba huyu kumbe sio matawi ningempeleka tu hata Calabash, nisingeingia gharama.

Nikakumbuka lunch samaki samaki pale roho ikaniuma. Msichana mkali unameet nae Mlimani city unadhani matawi unamtoa masehemu makubwa makubwa unaingia gharama kumbe ni wa kawaida sana ungeweza mpeleka hata kwenye chips vumbi tu!

By the way sijamla bado, ila soon

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaa....umeuza cheni bandia,nae kakupa fedha feki..
 
Hata humu kila mtu ni matawi.
Omba nije mkoa ulipo nikwambie tuonane sasa ndo mtiahani. Utapigishwa kalenda mpaka mda wa kuondoka hamjaonana.
 
Back
Top Bottom