Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,305
- 11,645
Na bado
Na bado
Hao kwani wanajua zinavyopatikanaMkuu kuna madem humu wanasema hii 110k si hela kabisa kwao,..jf kila mtu anajimwambafy
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlichokigundua kwa mtoa mada naona bado ni mshamba wa pesa, na sjui mtu classic unamchukulia ktk mazingira anayoishi?? Wajua uclassic wake unakuja vile anaitunza thamani yake na vile anajiweka hadi umezuzuka mwenyewe, afu ujifunze kutofautisha usafiri na ndinga!! We unaonekana una kausafiri
Hahahah,ndo uko hapo nin,njoo goba hapa kuna bia za promo triple b lounge,Kwa hiyo calabash ni sehemu ya watu wa hali ya chini? Hujiamini wewe pia hujitambui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan leo wamenikomesha,kiukwel nimeyumba sana kiuchum,huwez amin niko goba hapa triple b,castle light unlock,bia za promo,7 kwa elf 9 huwez amin ndo najipoza,na machungu ya 110k,hahahNa bado
Dah bado unakimbizana na mabia ya promotionYaan leo wamenikomesha,kiukwel nimeyumba sana kiuchum,huwez amin niko goba hapa triple b,castle light unlock,bia za promo,7 kwa elf 9 huwez amin ndo najipoza,na machungu ya 110k,hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Chonde chonde usije ukamkomoa.Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.
Mimi nikatangulia, alichelewa sana ila alikuja. Stori za hapa na pale nini, alikuwa kapendeza sana. Alivaa kagauni kanaishia mapajani, msafiiii, kapaka mafuta anang’aa yani.
Sasa jana nilikuwa Sinza ,opposite na mcity naosha ndinga pale karibu na Katalunya ya zamani akanitext "nimekuona nakuja hapo”. Akaja baadae tukaenda Mediteraneo Hotel, si unajua pale uzungu mwingi. Tulikaa hadi usiku, bill kama 110,000.
Usiku ikafika ikabidi nimrudishe nyumbani,akaniambia anaishi maeneo ya Survey pale. Dah! Nilishangaa sana anapoishi hadi nikajutia kwamba huyu kumbe sio matawi ningempeleka tu hata Calabash, nisingeingia gharama.
Nikakumbuka lunch samaki samaki pale roho ikaniuma. Msichana mkali unameet nae Mlimani city unadhani matawi unamtoa masehemu makubwa makubwa unaingia gharama kumbe ni wa kawaida sana ungeweza mpeleka hata kwenye chips vumbi tu!
By the way sijamla bado, ila soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Dharau mbaaya Brother!Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.
Mimi nikatangulia, alichelewa sana ila alikuja. Stori za hapa na pale nini, alikuwa kapendeza sana. Alivaa kagauni kanaishia mapajani, msafiiii, kapaka mafuta anang’aa yani.
Sasa jana nilikuwa Sinza ,opposite na mcity naosha ndinga pale karibu na Katalunya ya zamani akanitext "nimekuona nakuja hapo”. Akaja baadae tukaenda Mediteraneo Hotel, si unajua pale uzungu mwingi. Tulikaa hadi usiku, bill kama 110,000.
Usiku ikafika ikabidi nimrudishe nyumbani,akaniambia anaishi maeneo ya Survey pale. Dah! Nilishangaa sana anapoishi hadi nikajutia kwamba huyu kumbe sio matawi ningempeleka tu hata Calabash, nisingeingia gharama.
Nikakumbuka lunch samaki samaki pale roho ikaniuma. Msichana mkali unameet nae Mlimani city unadhani matawi unamtoa masehemu makubwa makubwa unaingia gharama kumbe ni wa kawaida sana ungeweza mpeleka hata kwenye chips vumbi tu!
By the way sijamla bado, ila soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole sana mkuu unakunywa bia za promo? hapo kweli lazima ukumbuke hela yako uliyo spend na mtoto samaki m/city. HahaaaaHahahah,ndo uko hapo nin,njoo goba hapa kuna bia za promo triple b lounge,
Kwel uchumi umenikalia koon awamu hii,daah siamin
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu sio hyo mkuu,watu hawajaelewa concept,ishu ni kujutia wazifa uliotumika akat ningeweza kaa hata kalabash tuuDharau mbaaya Brother!
Kwahiyo we ulitamani watoto wazuri Dsm, watokee Osterbey na Masaki.
Sent using Jamii Forums mobile app