Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Endelea na utoto wako ukikua utaelewa kwanini baba yako alihonga nyumba tena kwa mchepuko tu wakati wewe kutoa laki unaona umefanya la maana sana
Tena wee ndo utakua unajudge balaa,ila sabab ni jf kila mtu anajifanya tajir,sawaaa,ila kiukwel nilichofanya mim sio kigen kwa wanaume weng

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlichokigundua kwa mtoa mada naona bado ni mshamba wa pesa, na sjui mtu classic unamchukulia ktk mazingira anayoishi?? Wajua uclassic wake unakuja vile anaitunza thamani yake na vile anajiweka hadi umezuzuka mwenyewe, afu ujifunze kutofautisha usafiri na ndinga!! We unaonekana una kausafiri
Si kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa wanawake wanakuja kujishebua etiii ooh 110k ni hela ndogo sana wakati wengi wenu tena wotee hamuwez kutoka out mkajilipia bill hyo[emoji849]
Kabisa mkuu,tatzo watu hum wanajifanya mataw sana,...kiukwel 110k si hela ndogo kwa sisi watu wa serikalini,...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.

Mimi nikatangulia, alichelewa sana ila alikuja. Stori za hapa na pale nini, alikuwa kapendeza sana. Alivaa kagauni kanaishia mapajani, msafiiii, kapaka mafuta anang’aa yani.

Sasa jana nilikuwa Sinza ,opposite na mcity naosha ndinga pale karibu na Katalunya ya zamani akanitext "nimekuona nakuja hapo”. Akaja baadae tukaenda Mediteraneo Hotel, si unajua pale uzungu mwingi. Tulikaa hadi usiku, bill kama 110,000.

Usiku ikafika ikabidi nimrudishe nyumbani,akaniambia anaishi maeneo ya Survey pale. Dah! Nilishangaa sana anapoishi hadi nikajutia kwamba huyu kumbe sio matawi ningempeleka tu hata Calabash, nisingeingia gharama.

Nikakumbuka lunch samaki samaki pale roho ikaniuma. Msichana mkali unameet nae Mlimani city unadhani matawi unamtoa masehemu makubwa makubwa unaingia gharama kumbe ni wa kawaida sana ungeweza mpeleka hata kwenye chips vumbi tu!

By the way sijamla bado, ila soon

Sent using Jamii Forums mobile app
Mle tu mkuu, ili upunguze "machungu"
 
taja mfano wa ndiga ili tujue kutofautisha
Kwa mfano uko na ist, passo, raum, sjui brevis, verosa, crown, wish, n those kind of things sjui harrier analog utasema izo ni ndinga😡 😡 😡
 
Kwa mfano uko na ist, passo, raum, sjui brevis, verosa, crown, wish, n those kind of things sjui harrier analog utasema izo ni ndinga😡 😡 😡
ngoja nikupitie na kapasso kangu tuone kama hujanipa papuchi mziki mnene kanao
 
Back
Top Bottom