Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

ngoja nikupitie na kapasso kangu tuone kama hujanipa papuchi mziki mnene kanao
Sasa passo ata akati sjaolewa nina uwezo wa kununua gari skuwai fikiria asee kununua kababy walkker 🤣 🤣 🤣 🤣 na by then skuwa na sapot saivi ukija nako ata naona aibu kusimama kuongea na wewe
 
Atakuwa ana pepo kama alivyosema hapo juu.

Kuna utamu basi zaidi ya utamu wa dakika chache. Mimi kwangu ni kero na naamini wengi walitulia kwasababu ya hizi kero za kukimbizana kila kukicha na kuishi maisha yakudanganya.
Ukiona umefikia hatua hii ujue umekuwa mkubwa sasa na akili inachemka. Unaanza kuona vitu vingine havina maana/vya kipuuzi. Hongera mkuu
 
Sasa passo ata akati sjaolewa nina uwezo wa kununua gari skuwai fikiria asee kununua kababy walkker 🤣 🤣 🤣 🤣 na by then skuwa na sapot saivi ukija nako ata naona aibu kusimama kuongea na wewe
ulegee na ushindwe nabaki na kausafiri kangu
 
😂😂😂 hii ndio jaza ujanzwe umeshobokea dundo mwenyewe mpila waloose ball ww umeleta mbwembwe 😂😂😂😂 pole sana ndio ushajifunza sasa.
 
Kapasso kako danganyishia washamba wa kushobokea magari na vitu vya watu, maana we kumiliki baby walker havina uhusiano na mm kukubali unikule!!
kumbe uwezekano mkubwa upo kukula bila kuwa na usafiri wowote ngoja nije pm
 
Hivi watu wanashindwaje kusomesha dem ukiwa unatembea kwa miguu tu..[emoji44][emoji44], mpaka watumie nyenzo kama mtihani wa o-level.. ? Mimi nimechukua mpaka maofisa wakubwa kwa kuimbisha tu.., nikikutana nao maeneo kubalika...ya gambeeeez....[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana bado hela inamsumbua hajaizoea bado.... Mbwembwe nyingiii utasema kwamba akikaa mbezi beach au masaki atakutana na yenye asali ya nyuki wadogo
Ni kweli inaonekana tangu aanze kufanya kazi haijazidi miaka 2 halafu amechukua mkopo ndio inamzuzua anashinda nayo mlimani city ili naye aonekane mshua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana kuna wanaume. Tukitoka wenyewe tunalipa ila sio hiyo. Wanaume kutumia hela ni utaratibu wenu.
Usifananishe mwanamke anaetoka mwenyewe akalipa 50k na mwanaume anaetoka na mwanamke akalipa 110k akalalamika.

Kama we hauna usijali utazipata tuu. Wallah kwa wanaojua matumizi watashangaa ila kwa wenye hela za mawazo lazima muone kiwango kikubwa sana.

Cha muhimu tumia sawa na uwezo wako upunguze kuona kiasi fulani ni kikubwa kwako.

Usichanike msamba kumfurahisha mwanamke. Tumia unachoweza kupoteza
Hapa wanawake wanakuja kujishebua etiii ooh 110k ni hela ndogo sana wakati wengi wenu tena wotee hamuwez kutoka out mkajilipia bill hyo[emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujishaui sema nyie ndo mnaiona kubwa kiasi cha kulalamikia matumizi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri twende taratibu...
Ni kweli unaweza wewe kama wewe kujitoa out ukala na kunywa na kuspend ukatoa bill ya 110k wewe mwenyewe? Bila kulipiwa na mtu au kutumiwa mpesa ndio utoke out? Ni kweli unaweza'??
 
Hakuna strategy utaitumia dar na mtoto mkali usitumie pesa kaka,...mtabak kuchat tuu penz hupew,amin hlo kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nakwambia wewe Bado ni mgeni kwenye hayo mambo na hujui wanawake wanataka nini!
Wewe hujawahi kuona mke au demu wa mtu mwenye pesa nyingi Sana na anamgharamia kila kitu atakacho halafu mwisho wa siku anakuja kuliwa na dereva wa bodaboda ambaye hata bodaboda yenyewe sio yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom