Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Kinachokuuma ni yeye kukaa survey au wewe kutumia 110,000Tzs?
Hajielewi huyu jamaa Kama demu umemkubali ana vigezo mahali anapokaa panakudhuru nini?au anafikiri uchi wa demu wa Mbezi beach ni tofauti na uchi wa demu wa Gongolamboto?
Utamu ni ule ule,fanya kitu kwa interests zako na sio kwa ajili ya kujionesha kwa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mwisho ndo pamemdefine..
Kuna maisha hajayazoea. Amekariri mtu kupendeza ni kuwa na kipato wakati ni umaridadi tu.
Mimi sijaona tatizo la huyo binti, labda kama ni kosa kwa mtu anayeishi survey(wengi huwa wanafunzi wa chuo udsm au ardhi) kwenda mlimani city

Utakuwa ni limbukeni sana wa maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajielewi huyu jamaa Kama demu umemkubali ana vigezo mahali anapokaa panakudhuru nini?au anafikiri uchi wa demu wa Mbezi beach ni tofauti na uchi wa demu wa Gongolamboto?
Utamu ni ule ule,fanya kitu kwa interests zako na sio kwa ajili ya kujionesha kwa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana bado hela inamsumbua hajaizoea bado.... Mbwembwe nyingiii utasema kwamba akikaa mbezi beach au masaki atakutana na yenye asali ya nyuki wadogo
 
Hapo mwisho ndo pamemdefine..
Kuna maisha hajayazoea. Amekariri mtu kupendeza ni kuwa na kipato wakati ni umaridadi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hajui umaridadi unaficha umasikini, hapo katumia 110,000 tuutena mediteraneo na kakaa mpaka usiku anatoka povu hivu [emoji23][emoji23]

Hiyo hela kwa kufurahi mediteraneo si lisaa limoja tuu?
 
Nlichokigundua kwa mtoa mada naona bado ni mshamba wa pesa, na sjui mtu classic unamchukulia ktk mazingira anayoishi?? Wajua uclassic wake unakuja vile anaitunza thamani yake na vile anajiweka hadi umezuzuka mwenyewe, afu ujifunze kutofautisha usafiri na ndinga!! We unaonekana una kausafiri
 
Madem wa mliman, survey, siku ingine uliza tukusaidie bossy utakuja poteza pesa kizembe kumbe ni cheap tu. Wale tunawajulia sisi unaweza ogopa kumfwata kumbe wanashida kbaoo [emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom