Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Nlichokigundua kwa mtoa mada naona bado ni mshamba wa pesa, na sjui mtu classic unamchukulia ktk mazingira anayoishi?? Wajua uclassic wake unakuja vile anaitunza thamani yake na vile anajiweka hadi umezuzuka mwenyewe, afu ujifunze kutofautisha usafiri na ndinga!! We unaonekana una kausafiri
taja mfano wa ndiga ili tujue kutofautisha
 
Huwa sina kawaida ya kumtreat mwanamke nje ya uwezo, kama sina namwambia sina na wala sijawahi kuwa single kwa ajili ya hilo.
 
Kijana umepewa gari na bro wako ukalioshe we unatumia kutongozea mademu, hafu inaonekana wewe njaa zinakusumbua Mwanamke hata kama anaishi Chanika, au Kisarawe lazima umpeleke maeneo ambayo yatambadilisha fikra zake, nakushauri kama unavipesa vya mawazo acha kutongoza mabinti hovyohovyo tena katika maeneo expensive
Mi nawew naona itikad ni ile ile tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes strategy ni muhimu lkn sio hiyo ya kutumia hela nyingi halafu badae unaanza kulialia kwa kujutia hela yako.
Ziko strategies unaweza kuzifanya bila kutumia pesa Kama umewazoea vizuri wanawake,ila Kama ndio unajifunza swaga za kuchukulia mademu hutaweza kunielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna strategy utaitumia dar na mtoto mkali usitumie pesa kaka,...mtabak kuchat tuu penz hupew,amin hlo kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.

Mimi nikatangulia, alichelewa sana ila alikuja. Stori za hapa na pale nini, alikuwa kapendeza sana. Alivaa kagauni kanaishia mapajani, msafiiii, kapaka mafuta anang’aa yani.

Sasa jana nilikuwa Sinza ,opposite na mcity naosha ndinga pale karibu na Katalunya ya zamani akanitext "nimekuona nakuja hapo”. Akaja baadae tukaenda Mediteraneo Hotel, si unajua pale uzungu mwingi. Tulikaa hadi usiku, bill kama 110,000.

Usiku ikafika ikabidi nimrudishe nyumbani,akaniambia anaishi maeneo ya Survey pale. Dah! Nilishangaa sana anapoishi hadi nikajutia kwamba huyu kumbe sio matawi ningempeleka tu hata Calabash, nisingeingia gharama.

Nikakumbuka lunch samaki samaki pale roho ikaniuma. Msichana mkali unameet nae Mlimani city unadhani matawi unamtoa masehemu makubwa makubwa unaingia gharama kumbe ni wa kawaida sana ungeweza mpeleka hata kwenye chips vumbi tu!

By the way sijamla bado, ila soon

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulipata ulichoomba anapoishi hayo ni yake unless unataka kumsaidia Afu hiyo Mlimani city mnaikuza sana wakati ni sehemu ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom