Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,658
Umeona eeehh....atakua ndo kanunua gari huyu dogo....alaf kakulia mkoani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Point kal sana hiiKatika maisha huwa hatutoi kwa sababu mtu fulani ana deserve kupewa, tunatoa kwa sababu tuna moyo wa kutoa (kutoa ni moyo)...
Kabisa mkuu,na alivyo alivyo tuuKumbe mlimami city ni ya maana sana kiasi kwamba ukikutana na mtu pale ndo kujua ni matawi? Luckyline am getting old.
Point kali sanaWee zuzu ukitaka kumfurahisha mwanadamu daima utaishia kujiumiza moyo. Fanya kila jambo kwa kumfurahisha Mungu
Kumbe mlimami city ni ya maana sana kiasi kwamba ukikutana na mtu pale ndo kujua ni matawi? Luckyline am getting old.
mkuu niko pamoja na weweUsipokua na akil daslam,utaishia kula madem wa ajab ajab kaka,lazima uwe na strategy
Sent using Jamii Forums mobile app
huenda ukatulia ukiwa na Moto. Ongeza bidii MKUU!!
Sidhani kama demu ni migizaji.
God save us
Kijana umepewa gari na bro wako ukalioshe we unatumia kutongozea mademu, hafu inaonekana wewe njaa zinakusumbua Mwanamke hata kama anaishi Chanika, au Kisarawe lazima umpeleke maeneo ambayo yatambadilisha fikra zake, nakushauri kama unavipesa vya mawazo acha kutongoza mabinti hovyohovyo tena katika maeneo expensiveNi hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.
Mimi nikatangulia, alichelewa sana ila alikuja. Stori za hapa na pale nini, alikuwa kapendeza sana. Alivaa kagauni kanaishia mapajani, msafiiii, kapaka mafuta anang’aa yani.
Sasa jana nilikuwa Sinza ,opposite na mcity naosha ndinga pale karibu na Katalunya ya zamani akanitext "nimekuona nakuja hapo”. Akaja baadae tukaenda Mediteraneo Hotel, si unajua pale uzungu mwingi. Tulikaa hadi usiku, bill kama 110,000.
Usiku ikafika ikabidi nimrudishe nyumbani,akaniambia anaishi maeneo ya Survey pale. Dah! Nilishangaa sana anapoishi hadi nikajutia kwamba huyu kumbe sio matawi ningempeleka tu hata Calabash, nisingeingia gharama.
Nikakumbuka lunch samaki samaki pale roho ikaniuma. Msichana mkali unameet nae Mlimani city unadhani matawi unamtoa masehemu makubwa makubwa unaingia gharama kumbe ni wa kawaida sana ungeweza mpeleka hata kwenye chips vumbi tu!
By the way sijamla bado, ila soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes strategy ni muhimu lkn sio hiyo ya kutumia hela nyingi halafu badae unaanza kulialia kwa kujutia hela yako.Usipokua na akil daslam,utaishia kula madem wa ajab ajab kaka,lazima uwe na strategy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo laki yako hata Hennessy V. S. O. P hainunui unakuja kulia matumizi huku tena sijui mmekaa kuanzia saa ngapi hadi usiku
Acha ufala
Sent using Jamii Forums mobile app