mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 759
Mtu anayezungumzia miaka ya 1999 aanze kufanyia kazi na uzee huo?
Ataanza na kitakacho mtuliza nafsi yake.
Mtu anayezungumzia miaka ya 1999 aanze kufanyia kazi na uzee huo?
Japo hamna kitu zaidi ya harufu ya vitunguu swaumu na pilipiliAtaanza na kitakacho mtuliza nafsi yake.
You shouldn’t regret, my friend! Aliyekuumba na kukuleta hapa duniani sio mbahatishaji kamwe. Alifanya hivyo kwa kusudi maalumu, ambalo lazima litimie kwa wakati uliopangwa.
Ujanja wa samaki ni kwenye maji na ujanja wa tumbili ni kwenye miti. Samaki ukimtoa kwenye maji ukamueka porini (ambako tumbili anaendesha maisha yake vizuri sana) atakufa kwa kukosa hewa. Tumbili naye ukimtoa kwenye miti ukamzamisha kwenye maji (ambako samaki anaendesha maisha yake kwa tija kubwa) atakufa kwa kukosa hewa vile vile!
Kama ulikusudiwa kuwa samaki, obviously, ujanja wa kukwea miti utausikia bombani. Hali kadhalika, kama ulikusudiwa kuwa tumbili, ujanja wa kuogelea na kuishi ndani ya maji utausikia bombani tu.
Samaki ukimtoa nje ya maji anakosa hewa?! Hewa gani hiyo ayovuta akiwa majini na anaikosa akiwa nje ya maji? I thought it is dying due to drought condition!
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
Issue sio absence ya hewa mahali alipo. Hata majini hewa ipo, lakini binadamu hawezi kuishi ndani ya maji. Shida ni uwezo wa kuingiza hiyo hewa kwenye mfumo wake wa upumuaji.
Respiratory system ya samaki haikuwa designed kwa maisha ya nchi kavu. Unsubmerged, the fish will ultimately suffocate, even if some moisture is maintained!
Then we have to swap the two respiratory systems between them (tumbili and samaki) before we interchange their living environments! Is it possible doctor?
Kwa wahindi uliingia kwa qualification gani? Hotelier au casual? Tuanzie hapo kwanza...Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
kwa mhindi kuna malengo? labda kama mkewe akupende uwe unamtafuna kimya kimya tu, ndo utakula mafaoWewe iko paji ya pika chakula zuri bana.
Mkuu usijilaumu sana kuna wengine hata hiyo chance hatupati,so ifanye hiyo kazi kwa malengo utatoboa
Aiseee!!!!Lakini mbona una chance nzuri sana..jiendeleze upishi uwe chef mzuri..uje ufungue hotel ya mapishi ya kihindi
nimependa jina lako..... namalizia "In causa sua"Mkuu unamkorofishia muhindi cheulo siyo? Kazi ni Kazi bora mkono kwenda kinywani
nimependa jina lako..... namalizia "In causa sua"
Na pgm yangu niliishia kusoma agriculture engineering sua pamoja na wani yangu Kali hakuna cha urubani wala mavi yake urubani
Mmmmmh acha niombe mungu niwe mchungaji tum nichunge kondoo wakeWakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.