Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

Acha woga mimi nimezaa nae watoto wawili na kwao hata sijafika na mama mkwe na baba mkwe tunaongea fresh, na binti yao naishi naye hadi leo. Tulikutana Dar na wazazi wapo Kilimanjaro
Ukinisoma Kwa kutulia, utaona Mimi na wewe tuna mtazamo mmoja
 
Hiyo ishu ndogo tu. Kama kichwa kiko kama cha Lowasa kimwagie piko uchanganye na masizi.

Kama sura Ina mikunjo kama bumps za barabarani nenda saloon kabandikwe foundation kisha upigwe rangi.

Ikigoma nenda kwa painter wa rangi za nyumba.

Siku ukifika utaonekana underaged
Hizi mbinu sasa
 
Binafsi naona Hilo halina shida kabisa ilimradi uwe unajielwa kufocus kwenye maendeleo na mipango ya pesa!
 
Kwanza unaanzaje kuongea na mama mkwe?
Yaani mama mkwe anapata wapi jeuri ya kuongea na wewe!?
Mama wakwe wa siku hizi ndio maana wanaliwa wao na watoto wao
Kuna ndugu yangu kuna msichana alikuwa anachakatana nae,wala hawajawahi ongea mambo ya ndoa, siku moja jamaa anapokea simu ngeni kumbe bi mkubwa wa demu wake anamwambia jamaa unakuja lini kuleta barua mwanangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom