Nilichoshuhudia POLICE Jana!

Duuu kumbe kasema hivi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ukhuty..this is true story.Kama mnabisha ajitolee mtu twende naye kwa hao maafande.Aje na ushuhuda.Niongope jamani.Kuna Bank inanilipa kwa kusema Uongo??
 
Huo uchunguzi mtaani umechukua muda gani na mjomba kakaa ndani muda gwni. Story fake hiyo
Kwani uchunguzi unachukua muda gani??sema wewe.Ila mimi nimekuta wanasimulia na katoto nimekaona.True story.Au twende.Huwa mimi napenda fact .Ukikataa kwenda we ndo unaleta ulongoooo
 
Nimekuta story. Mjomba yupo nje alipita tu kufuatilia
 
Ukhuty..this is true story.Kama mnabisha ajitolee mtu twende naye kwa hao maafande.Aje na ushuhuda.Niongope jamani.Kuna Bank inanilipa kwa kusema Uongo??
Karekebishe bas bandiko lako
 
JF Tuweni makini na vyanzo vyetu vya habari, ndio maana namuamini joseverest katika kujitolea kama KIRANJA...

Thread kama hizi huwa anazishitukia MAPEMA na kutupa muongozo wale WAKURUKUPAJI...

Sitoi hata POLE kwa Mjomba, wala simuhukumu JAMES..
Yawezekana mleta MADA umelelewa na MJOMBA hivyo una mdedicate, yawezekana pia una chuki na dereva bodaboda pengine wanakulia MZIGO wako...

Habari hii, mpelekee SHIGONGO atakulipa chochote...dms {doesn't make sense)
 
Jamani typing error. Ni kweli.kabisa.Labda njoo Pm nikupe no.Ya afande au uende mwenyewe pale Mbezi luis police.Ni kweli njoo pm nikupe no.Akakusimulie Afande mwenyewe.Sipendi mtu aseme ni uongo wakati wahusika nimewaona wote.(inasikitisha kweli)
Mbezi kwa Yusuph?
 
Karekebishe bas bandiko lako
Kuna wakati simu ninapoandika ikiwa kwenye Chaji sijui Ni friction ..Inakacha.Utakuwa hata nukta zinakuwa nyingi au inajiandika inavyoona.Inahitaji nirudiee kwa umakin Sasa sometimes Naona Ujumbe ufikr.Au nipo on a go.Chaji inaishiaaaa.Napost tu Bila kurekebisha.But now ntakuwa makini.A
But hii Ni kweli kabisa
 
Njoo Pm.Nikupe no.Ya Afande.I swear.Na mkishaongea utupe mrejesho
 
Ukiona hivyo mjomba labda aliwahi kukatishia nyau kakajua mjomba nae anataka
 
Angalia Pm.Tayari nimekutumia No.ya Afande .Ole wako usimpigiee Sipendi MTU.mpotoshaji hata kidogo.Kwa Hapa nakuwa mkari Mnisamehe.Na ulete mrejesho.Ujuaji mwingine haina faida.Ni MTU mzuri Na Ni muelewa .Uliza tu.Eti samahani Kuna alisingiziwa Kumbaka mjomba wake??uje Na mrejesho. Watu kama nyie nawapa Na Evidence.Usikimbie Uzi.Ulete mrejesho.Nidanganganye Ili iweje???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…