Mleta mada wewe ni muongo, haiwezekani mtoto wa miaka sita au saba akawa darasa la saba na akawa kaishakomazwa.Wasalaam!
Jana Nilikuwa Na ishu naifatila pale Police Mbezi.
Jamani,Tuwe makini sana Na Watoto wa kike Hasa wadogo tunaowachukua kwa Lengo la kuwalea au kuwatunza.
Mtoto wa kike miaka kama 6 au 7 tuchukulie Ni darasa la 7.Amebakwa!!
Tuwe makini jamani.Mana katoto nilivyokaona japo Ni Kadogo vijana wameshakakomaza kiasi kwamba Baada ya maaskari kupata ukweli Na kuuliza tena akakakiri 'kweli Ni Bodaboda James.Lakini kabla kulikuwa Mpaka kanapiga makofi kushadadia mjomba ashikwe.
Hata kama hii ni story ya kubumba lakini ina funzo kubwa sana ndani yake,kumbuka story nyingi ni matukio ambayo yalishatokea somewhere.Story ya kubumba hii
Toka lini mtoto wa miaka 6 au 7 akasoma darasa la sabaKuna dalili ya chumvi hapa mara miaka 6,7
Mara darasa la 7
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
Mtoa mada kajichanganya[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]Toka lini mtoto wa miaka 6 au 7 akasoma darasa la saba
Pia mtoto ana,miaka7 anasoma darasa la 7[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mm nashindwa kuelewa UchunguZi umefanyika kwa muda gani, kwa maelezo yako inaonyesha kila kitu kimefanyika jana na ww ukiwepo toka mjomba anasekwa rumande mpka watu wanaenda kuchunguza na mpka anatolewa hii yote ilikuwa jana tu, ina maana toka asubuhi we upo kituoni au na ww ulikuwa rumande
Chumvi imeanzia aliposema miaka 6 au 7 darasa la 7.Ni story ya kweli au umetunga? jana umeshuhudia na jana kutafutwa uhamisho? hapa kuna chumvi.
Anafikiri watu wote ni BashiteChumvi imeanzia aliposema miaka 6 au 7 darasa la 7.
Poa dingiHata kama hii ni story ya kubumba lakini ina funzo kubwa sana ndani yake,kumbuka story nyingi ni matukio ambayo yalishatokea somewhere.
Samahani.Nilikuwa busy kidogo kujibu.Ni story ya kweli au umetunga? jana umeshuhudia na jana kutafutwa uhamisho? hapa kuna chumvi.
Jamani typing error. Ni kweli.kabisa.Labda njoo Pm nikupe no.Ya afande au uende mwenyewe pale Mbezi luis police.Ni kweli njoo pm nikupe no.Akakusimulie Afande mwenyewe.Sipendi mtu aseme ni uongo wakati wahusika nimewaona wote.(inasikitisha kweli)Story ya kubumba hii
Huyo mjomba sasa ukimuona hiyo jana.Amevaa zile nguo za kudarizi.Mdogo mdogo hivi rafudhi ya Kingoni.Balaa tupu.Miaka 30 isikie kwa mwenziooomba mungu tu akuepushie!!
kuna watu wengi sana wamefungwa..wanalilia haki zao huko jela
kuonewa kusikie tu hivihivi.