Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,409
Wasalaam!
Jana Nilikuwa Na ishu naifatila pale Police Mbezi.
Jamani,Tuwe makini sana Na Watoto wa kike Hasa wadogo tunaowachukua kwa Lengo la kuwalea au kuwatunza.
Mtoto wa kike miaka kama 6 au 7 .Amebakwa!!
Sasa kisanga hicho kikataka kumgeukia Mjomba MTU anayeishi naye,Baada ya Huyo mtoto kubakwa Na kupimwa kubainika kabakwa,ma jirani wakaripoti police,Baada ya police mtoto huku akilia akawa anamtaja mjomba wake. Kama ujuavyo Police hawana ajizi wakamsweka Ndani.Mpaka ile Jana ilikuwa mwendelezo wa mjomba MTU kuona kuozea jela kwa miaka 30.
Sasa,Baada ya mjomba MTU kuweka mahabusu Ili utaratibu uanze kufuatwa mjomba MTU akiwa Hajui wala haamini kilichomtokea inasemekana alikuwa analia Kilio mfululizo Bila kukoma Na huku akimuomba Mungu akiapa 'Jamani sijambaka Huyu mtoto sijambaka Huyu Mtoto Mungu Wangu anashuhudia'akaliaa akaliaaa anaomba.
Afande mmoja wa kike akaomba suala hili lifuatiliwe kwa makini mtaani anakoishi mjomba MTU Na Mtoto Ili kupata ukweli.Kamati ikaingia mtaani.Ndo kuja kubaini Ni kijana Bodaboda aitwae James ndio aliyembaka Mtoto Na kumtisha Mtoto aseme Ni mjomba.Na Ndio mjomba kutolea.
Hivi Sasa mjomba MTU anafanya utaratibu wa kumhamisha Mtoto Shule narudi kijijini.Maana ameponeaa tundu la sindano ukitegemea mjomba MTU ameoa.
Tuwe makini jamani.Mana katoto nilivyokaona japo Ni Kadogo vijana wameshakakomaza kiasi kwamba Baada ya maaskari kupata ukweli Na kuuliza tena akakakiri 'kweli Ni Bodaboda James.Lakini kabla kulikuwa Mpaka kanapiga makofi kushadadia mjomba ashikwe.