Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,648
- 6,409
Wasalaam,
I declare interest, haya ni maono, yaan ni ndoto ilinichukua mchana ghafla nikipoteza ufahamu wa kawaida kwa muda nnao kadiria dakika moja na nusu.
Katika hali ya kustaajabisha kabisa nikaoneshwa namna vikao vya siri wakuu wakilaumiana kwanini kila pigo walilopiga Chadema limekua mwiba kwao na kuwagharimu zaidi, kiako cha la wama na hasara ya kula pesa za watu pasipo matokeo waliyohaidiana.
Ndipo anaibuka MWAMBA mmoja anayeaminika kua jabali wa upande alioutelekeza akisema watumie diplomasia sasa ili kuimaliza Chadema yaani uharibifu aunzie ndani maana mapigo ya kutokea nje yameshindwa kukimaliza kabisa.
Nikaona makubaliano ya furaha kabisa. Sasa chama kikapewa air time kikaonekana kupendwa waliosaliti walirudi wazi wazi na kuponda upande hatari kana kwamba wanajuta kweli kumbe wapo kwenye kazi maalum.
Kazi hio maalum inaenda kukamilishwa kwakumpoteza Mwenyekiti halali, mkweli, mzelando na mwenye msimamo kwakua ndio nguzo na Icone ya chama kwa sasa.
Nilipata mshtuko nakutamani kuzuia jambo hilo lisitokee kumbe ilikua too late nikaeudi kwenye ufahamu wangu wa kawaida nikiwa na majonzi mengi saana na huzuni.
My take:
Chadema ingefanya reforms ya katiba ya chama kwenye ibara za sifa za mwanachama na haki ya kuchaguliwa.
Wange weka hivi kwa mwanachama aliyesaliti chama na kurudi baadae atapoteza sifa ya kua kiongozi kwa kipindi cha miaka 10 akiwa chini ya uangalizi.
Ahsanteni kwakunisoma.