richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 600
- 1,026
Picha linaanza steling anafia kwenye maua
[emoji23][emoji23]Story ya steringi kufa kizembe [emoji28][emoji28][emoji28]
Abadilishe tittle tu[emoji23][emoji23]
Kwa kweli aisee maana duuh ni tatizo hili[emoji23]Abadilishe tittle tu
Hahahah ametuingiza kwenye maswali mabaharia 😅😅😅Kwa kweli aisee maana duuh ni tatizo hili[emoji23]
Hivi nguvu za kiume ni kusimamisha tu mkuu???[emoji848]
C ni swala la kushindwa kula ngwachuchu au???
sababu ipo ila ni ya aibuBADO HAKUNA SABABU MAALUMU KWANINI DERBY YA SIMBA NA YANGA HAIKUCHEZWA
Sijamsoma kabisa aisee[emoji23] huu ni mfarakano kabisaHahahah ametuingiza kwenye maswali mabaharia [emoji28][emoji28][emoji28]
niliamua tu mkuu ili nione nini kitatokeaDuch...au ulikuwa na mechi nyingine?? Si "ungepigapo" hata kamoja tu ka afya? Au demu alikuwa na harufu mbaya(japo umesema alioga kwanza)?
Hongera sana kwa kushinda majaribu!
Yani kamruhusu swala asepe kama vile meno hana ya kung’ataSijamsoma kabisa aisee[emoji23] huu ni mfarakano kabisa
Labda hajaimalizia stori yake ngoja aje[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Dah hii story imekuwa kinyume na matarajio yetu. 😭
[emoji23][emoji23]Yani kamruhusu swala asepe kama vile meno hana ya kung’ata
Labda ni simba kweli ila kibogoyoYani kamruhusu swala asepe kama vile meno hana ya kung’ata
Daaah.
Kama mechi ya Yanga naa simba