Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Mnazinguaga sana....Hello jf,jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka flani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentle man mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee man kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaid baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopak pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!
Kweli nimejilaumu sana ukizingatia me ndo nilimbwagaMnazinguaga sana....
Ila hongera kwa kukomfesi... maana nadhani bado unajilaumu
LabdaInawezekana ungekuwa nae asngekuw hvo.
Wachache sana wanaweza wakasema hayo... By the way, ungemkuta amechoka sana ungejilaumu?Kweli nimejilaumu sana ukizingatia me ndo nilimbwaga
AhsantePOLE SANA DADA YETU
Wala usiwe na wasi, mbona hata mimi nilikuona Ila nikajikausha kwa vile kipindi kile uilini "dis" vibaya mno. Kama vipi niachie # yako pm nikutwangie, ikibidi nikufanye kama mwenzio!Hello jf,jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka flani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentle man mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee man kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaid baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopak pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!
NisingejilaumuWachache sana wanaweza wakasema hayo... By the way, ungemkuta amechoka sana ungejilaumu?
Kweli nimeaminiHiyo ni kawaida, wadada mnaowazingua wanaume inawatokea puani sana hii kitu!
Kuna wanaume ambao hawapendi kabisa kujionyesha wana nini pindi wanapotongoza, au wanakuwa ni fighters haswa wa life, ikitokea ukimzingua siku ukikutana nae utatamani ardhi ipasuke!!
Kweli nimeaminiDada yangu Maisha hayana formula.
Nini?mwe!
Afadhali hata huyu anakitu kinachoweza jadilika. Kuna wengine mpaka unajiuliza amefikiria nini?! Mfano jamaa anauliza maana ya "biological father" si angegoogle tu!Kila mtu ana haki ya kupost,haikufai pita kimya.