marrykate
JF-Expert Member
- Mar 4, 2012
- 733
- 442
Sijui Africa tumelogwa na nani we jaribu kupima hii inshu kaifanya mwanamke dhidi ya mme wake uone! Ukichunguza wachangiaji karibia wote wanasisitiza mtoa maada amsamehe mtuhumiwa ila ingekuwa ni mwanamke ndo katenda huu ***** alafu mwanaume kaleta hiyo maada ungesikia comments nzito nzito zikimtaka mwanaume kumtimua mwanamke.KI UKWELI WANAUME IFIKE POINT TUACHANE NA MAISHA YA KI GORILLA NA TUJARIBU KUWASAIDIA WAKE ZETU KWA KUWA WAAMINIFU ILI TUJENGE FAMILIA ZETU KIMAENDELEO PIA TUSITAKE KUTUMIA NDOA ZETU KAMA ULINGO WA KUWATESA WANAWAKE.TUMEKUWA TUKILALAMIKIWA KILA KONA KUWA SISI NI SOSI OF OL EVILS KWENYE FAMILIA.
umeona eeh yaani hapa mwanamke anaambiwa ajipambe,apendeze nyumba sijui iwe safi mda wote as hayo yote alikuwa hayafanyi kabla ya kuchetiwa, ni kazi kuolewa aisee ni kama unatakiwa kuishi kama katuni ili umfurahishe mme hata akikuuzi