Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Ni binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana niende kwenye mada;

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(Africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yeye akiwa nje anaosha vyombo, ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida, duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi, kuwatega na kuwachuna wanaume, amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu, ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi.

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake mara chuma mboga mara nini.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani huyu dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe.

Pole sana.

Siku nyingine usipende kukagua simu ya dada yako.

Halafu hao wapole ndio hatari sana.
 
Akikua ataacha

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Chunguza aina ya marafiki alionao..
Kama ni wa kike,mitoko kwake ipungue kwa asilimia 90..awe anatoka kwa sababu na mara nyingi awe ameongozana na mtu..
Ila amini kwa marika ya watoto wa form 4...marafiki wanaharibu sana!!!..

Na kama anaenda advance mpokonyeni simu mpka amalize six..muone kama huyo mbayuwayu wake ana ubavu wa kumnunulia simu.

Wakati yeye ndo kungwi... Wazazi wa wengine watakuwa wanawaambia watoto wao achaneni ya yule mtoto malaya yule..
 
▶▶▶▶●●Huyo mpaka anafikia hatua ya kuwafundisha wenzake huyo ni "graduate" ktk Ukahaba....

Chinjeni kondoo na mbuzi mtambike... Ili apate msaada wa mizimu iweze kumlinda.
 
Mi kuna vitu sivielewei kwenye hii sredi

Kwamba mtu kamaliza form four na hawezi kubadili lugha kwenye simu?

Pili, kwa nini uliingilia privacy ya mdogo wako kiasi hicho, akili gani ilikutuma kufanya hivyo? Unaweza kuwa na haki but not to that extent. amemaliza form four ni mkubwa huyo, sasa kwa ujasiri huo huo hebu mface umewambie kwa nn anajifunza mbinu za mapenzi

halafuakifikisha 30yrs akiwa home utakuja tena kulalamika apa

Asprin
 
Tumia namba nyingine asiyoijua uwe unachat nae km unamtaka kimapenzi (unamnunulia na salio) halafu mpe appointment eneo safiii km anavyopendelea maana umeshaona chatings zake bila shaka umemsoma anachopendelea then siku akija....unaliamsha dude.
 
Mi kuna vitu sivielewei kwenye hii sredi

Kwamba mtu kamaliza form four na hawezi kubadili lugha kwenye simu?

Pili, kwa nini uliingilia privacy ya mdogo wako kiasi hicho, akili gani ilikutuma kufanya hivyo? Unaweza kuwa na haki but not to that extent. amemaliza form four ni mkubwa huyo, sasa kwa ujasiri huo huo hebu mface umewambie kwa nn anajifunza mbinu za mapenzi

halafuakifikisha 30yrs akiwa home utakuja tena kulalamika apa

Asprin
Kuna watu hawana makoromeo. Sisi wahenga wa sasa tunasema... kama huna koromeo, usipige chabo. Maana kama dada anakuuma basi mke atakung'ata
 
Inasikitisha sana...
Siyo rahisi to control her as you think... Wewe umeona leo, lakini mwenzako hajaanza leo, na kama ishakuwa tabia kwake hata umeleze vipi siyo rahisi kumbadilisha haraka haraka...

Hayo mambo ni addictive...

Cc: mahondaw
 
Kachume nawewe mboga

Sent from my BBA100-2 using JamiiForums mobile app
 
Vumilia tu maana humsomeshi wewe na wew jiunge

acha uongo
 
Ni binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana niende kwenye mada;

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(Africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yeye akiwa nje anaosha vyombo, ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida, duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi, kuwatega na kuwachuna wanaume, amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu, ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi.

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake mara chuma mboga mara nini.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani huyu dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe.
Tukushauri nini wakati mkoba anabeba mwenyewe?

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
bora unipe ni muoe mapema tena Ndoa ya halali kabisa kabla hajakua sugu mikononi mwako ukajuta
 
Mueleze ukwel kabla mambo hayaja enda kombo...

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom