uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,216
- 788
leo nimetembelea mlimani city Kwenye punguzo la cm pale wanauza simu bei kubwa sana tofauti na kule ndani. simu inayouzwa Kwenye punguzo 37000 basi Kwenye maduka mengine ni 32000 Nokia ya tochi double line 60000 ndani ni 54000 jionee tofauti tofauti na hapo Kuna usumbufu wa kijinga Huwezi uziwa simu bila namba wanazotoa wao