Inategemea wewe ulifikia wapi kimaisha, bana huko ndo zetu one way to Namanga/ Tarime-Isbania.
Pale Nairobi kuna damu ya
1.Kisomali, tena bwelele hii kizazi inaanzia Namanga Border pale,
2. pia damu ya ki- Ethiopia,
3.kinyarwanda/
4.Burundi.
5.Eritrea ,
6.Machotara wa kizungu/Blacks kibao,
7.wa Kipsigis utachoka,-Lungalunga road.
8.walikuwepo, na wapo kizazi cha ma-settler wazungu mpaka kesho. nenda kwenye ma- farms huko kisumu, na matumizi yao ni Nairobi city, unaweza usirudi bongo,
Hawa nao taja hapo juu ndo wazuri Africa yote
Hawa jamaa ni wakabila sana siyo km sisi, wewe ulikaa kwenye kabila la wajaluo wa -nilotic maskini ndo wako hivo, wanafanana sana na Galang kwa sura. Ukadhani ni Nairobi nzima na nyie wabongo mnapenda weupe.
Bongo-Ilala ukikaa Muhangala kule krbu na Pugu utasema bongo hkn mademu, tofauti na anaye kaa Masaki.Mbezi, salasala, Sinza, Posta ndo usiseme
au tuseme, Maji Matitu huko au Jangwani darajani pale kuna dem mzuri?
Wanaogopa kukabwa, jamaa zao wakija kuchunwa, lazima ukiona demu mzuri maeneo haya utamuogopa tu, utajua ni mtego au teja.
Nenda Evertone Green uone mambo! Yaya centre tu hapo! Mbagathi dst, jaribu kulala Hotel za kawaida km hii Methodist Guest House. Kenyatta University/Hosp watoto wazuri acha kabisa. Vyuo kuu Bora Africa vyoote hivo jamani hkn? Unajua wabongo Lugha ni tatizo pia
siyo huko uchochoroni kwako, ulikofikia. Na demu mzuri hakai uchochoroni hata,
ataibuliwa tu na machalii wenye Pesa. Hata Bar yeyote Bongo yenu hii demu mzuri hakai Mwezi, hkn jinsi ndo Mungu alivo tuumba wanaume.
Hiyo number 4 hata kwenu huko ipo sana, Matumizi ya maji yako ukanda wa pwani tu, sehemu zenye Dini fulani hivi , na mijini kidogo.
lkn shamba Tarime huko, Kribho huko weee! baba tuna tawadhia majani tangia kitambo usitudanganye, au kuvaa ivoivo, yanakaukia humohumo! hatunaga chupi!
Hivi Masai unamuonaje vipi ? kwanza maji tu yako km 30, anashinda na cows ana maji? km anayo, akisahau tu mbuzi anayakunywa
Toilet paper ni ya mzungu, ukweli mi sikujua maji mpaka nilipo kuja mjini Dar
wadanganye haohao! na kuna baadhi ya ndugu zangu kijini mpaka leo hawakuelewi kwa suala la maji, kushika nyaa! mzee wa kimila akatize na Mkopo weee! kwanza hata tulikuwaga hatujui km wana pata haja kubwa.