Habari bila picha/video clip sawa na taka taka tu
Ninyi ni wale vijana ambao shuleni mko ziro.Hivi kweli wewe unaweza kusoma vitabu vya simulizi,History,Geography,Physics,Literature,Mashairi ,na vya masomo yote ya darasani,n.k. ukavielewa?Nadhani huwa huvielewi,kwani havina hizo video au picha unazohitaji kwa kila jambo.Hivyo vitabu kwako ni takataka,kama nikikunukuu vizuri.NINAKUSIHI UJARIBU KUSHUGHULISHA KICHWA CHAKO KWA KUJITENGENEZEA PICHA AU VIDEO KICHWANI MWAKO KILA WAKATI UNAPOPATA SIMULIZI KUTOKA KWA MSIMULIAJI YOYOTE.