Majan
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,318
- 1,914
Kama hutojali nawe ninyema kutudadavulia mawili matatu kuhusu zambia mkuuHatari sana mkuu, mimi nipo Ndola Zambia ila naweza kukaa miezi 3 sijagusa papuchi, sometimes unamiss sana papuchi za kibongo.
Kwa Experience yangu Bongo(Tanzania) bado itakuwa Nchi bora Sana kwangu kwenye baadhi ya mambo Kama Vyakula, usafi wa wanawake, Uhuru wa kuishi bila kubuguziwa....N.K