Nilichojifunza Nairobi-Kenya kwa siku 3

Nilichojifunza Nairobi-Kenya kwa siku 3

Hatari sana mkuu, mimi nipo Ndola Zambia ila naweza kukaa miezi 3 sijagusa papuchi, sometimes unamiss sana papuchi za kibongo.
Kwa Experience yangu Bongo(Tanzania) bado itakuwa Nchi bora Sana kwangu kwenye baadhi ya mambo Kama Vyakula, usafi wa wanawake, Uhuru wa kuishi bila kubuguziwa....N.K
Hujiulizi kwa nini? Bongo ikawa kunaustaarabu ki hvyo?
Kubali au kataa ni kutokana na ustaarabu ulioletwa na Uislam mfano uislam unahimiza suala zima la kujikosha kwa maji tena mara kwa mara na pia utamaduni wa Tohara kwa wanaume
Bila Uislam binadam ana kuwa kama NGURUWE kwa uchafu na kunuka ukikasirika meza wembee habari ndio hiyoo
 
Ili kukienzi Kiswahili chetu jifunze kutumia tafsida.... Ukienda haja kubwa au ndogo, kubakiwa na kinyesi njia ya haja kubwa nk.... Sawa? Kumbuka rais JPM yuko bondeni anapiga ndogo ndogo ili muende kufundisha Kiswahili... Sasa hii mambo ya Mavi, Mkund etc hapana aisee
Duuuuuuu tafsida
 
Duh iyo no 4 nimecheka sana kumbe ndio mambo yalivyo uko kenya, yani unatembea wala ukutani na warembo sasa siku nyingine kama mnaenda muwe mnarekodi na ka video basi ili tuwe tunanogesha kastori
 
Kwa nini unamis je wanawake huko hawapo?.
Wanawake wapo ila sio wasafi alafu pia hawapo romantic kabisa( Sio Wote) utamdinya tu kwasabab una nyege lakini baada ya hapo unakuwa auna time nae tena,.... Vuta pictures mwanamke akienda kujisaidia haja ndogo anajifuta na tishu tu atumii maji daily na hata akienda kujisaidia ajakubwa hivyo hivyo anatumia tushu tu, Mara moja kwa mwaka sio mbaya ila ndio desturi yao yaani maisha yao yote wako hivyo, Eti alafu wanatuona watanzania wacha kisa tunatumia maji tukienda chooni.
 
Duh iyo no 4 nimecheka sana kumbe ndio mambo yalivyo uko kenya, yani unatembea wala ukutani na warembo sasa siku nyingine kama mnaenda muwe mnarekodi na ka video basi ili tuwe tunanogesha kastori
Sawa mkuu.
 
Habari zenu wakuu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada bila ya kupoteza muda.

NAOMBA niwaleteni kile nilichojifunza ama nilichokiona kwa majirani zetu Nairobi Kenya

1. Usafiri. Hapa nawapongeza Sana. Miundombinu ya barabara Ni nzuri na ya kuvutia. Barabara zao nyingi njia 4 adi 6 pia Ni high way. Ukikosea barabara unaweza tembea Kama kilomita 60 ndipo upate diversion. Hongereni kwa Hilo.

Lakini kwa upande wa Daladala maarufu Kama matatu na bajaji zinazoingia katikati ya jiji aisee zinatia kinyaa pale mjini. Jiji kubwa Kama Nairobi hawezekani ikawa na bajaji mbaya Kama zile na matatu zenye sura mbaya Kama vile Kwanza ukizipanda Ni fujo kelele dreva anafungulia mziki unazani upo club. Ni chafu zimechoka na zimechakaa. Wanairobi toeni hizo bajaji na matatu hapo Citi.

2. Kodi Pamoja na Ajira. Hapa pia nawapongeza inabidi na sisi watanzania tuige mfano wao. Nitatoa mfano mdogo tu niliyoona upande wa Kodi na Ajira. Kwenye kondi. Guest houses zote ukiingia unaombwa kitambulisho chako then unasajiliwa na kupewa risiti za machine za ambayo Moja kwa Moja unakuwa umelipia Kodi serikalini. Tofauti na kwetu ukiingia lodge ama hotelini unaambiwa uandike jina mwenyewe na hupewi risiti. Pia Mara nyingi tunadanganya majina yetu sehemu Kama hizo.

Upande wa Ajira nimeona mfumo wanaotumia inamruhusu Kila mmoja kupata pesa na hii upelekea mzunguko wa pesa kuwa mkubwa. Mfano unakuta guest Moja Kuna watumishi zaidi ya kumi na wote wanafanya kazi. Pia sehemu zote za biashara Pamoja na guest House, hoteli Kuna walinzi na hii pia nimeona ni Kama fursa ya Ajira kwa waliyowengi. Hongereni kwa mfumo huo mzuri. Wabongo tuinge mifano yao.

3. Mifuko ya Nylon. Kama mnavyojua kuwa sisi serikali imepiga marufuku hii mifuko ya Nylon Kuanzia June 1, 2019. Lakini kwa wenzetu wao walishaachana na hii mifuko ya nylon kitambo Sana. Wanatumia mifuko ya Bahasha na karatasi laini kupaki chakula yaani Kama take away. Hili pia nawapongeza. Na sisi wabongo tuinge Hawa tusiwe watu wa kulalamika hata kwenye vitu vizuri Kama kuachana na Nylons.

4. Hygiene. Hapa nawapa zero Kama siyo negative zero. Ni ivi wakenya hususani jiji kubwa Kama Nairobi hawajitawazi kwa kutumia maji. Bali wanatumia toilet paper. Ukiingia chooni hupati ndoo Wala chombo chochote Cha kujitawaza Bali unakutana na toilet paper
Njia hii ya kutumia toilet ki hygiene SI salama kwani unakuta baada ya kujitawaza Bado unacha particles za mavi kwenye mkundu. Pia kwa upande wa wasichana Mara nyingi ambao hawajitawazi kwa maji Ni rahisi Sana kupatwa na magonjwa Kama UTI. Pia kunuka sehemu za uke hata mkundu pia kutokana na uvundo wa uchafu.

5. Warembo. Kwa kweli siitaji kuwa mnafiki hapa . Wasichana wa Nairobi wamekomaaa kinyamaa. Sura ngumu kweli kweli. Uweza kaa nusu saa Bila kuona binti mrembo

6.Mirungi Ni Kama fasheni Nairobi. Wanume wa Nairobi wanatafuna mirungi kuliko wanavyowatafuna demu zao. Ivi ninyi mademu wa Nairobi Ni kweli mnaenjoy mapenzi ama romance kutoka kwa waume zenu Hawa wanaotafuna mirungi?

Mwisho. Kwa mazuri tujifunze na kuiga kutoka kwao pia wao waige Yale mazuri kutoka kwetu.

Nawasilisha.

Hapo Namba moja sikubaliani na wewe. Kweli ulikuwa Nairobi ama ulielezewa? Kenya ina Matatu culture ya kurembesha daladala kushinda nchi nyingine yeyote. Mpaka BBC na CNN wakefanya documentaties kuhusu Matatu za Kenya. Huwezi Linganisha na daladala zenu hata siku moja. Kwenye warembo, inategemea na maeneo uliyotembea. Mwenyewe nimefanya kazi TZ na sioni tofauti kubwa ya wanawake waKenya na waTZ kwa sura. Kuhusu hygiene, hapo unaeneza uislamu wako labda. Jee miji mukubwa duniani kama London na New York ina toilet paper ama maji chooni? Maji ya ndoo chooni ni ushamba wa hali ya juu.
Kwenye
 

Attachments

  • mat1.jpg
    mat1.jpg
    6.9 KB · Views: 41
  • mat2.jpg
    mat2.jpg
    15.6 KB · Views: 38
  • mat4.jpg
    mat4.jpg
    147.4 KB · Views: 46
  • mat5.jpg
    mat5.jpg
    53.8 KB · Views: 51
  • mat7.gif
    mat7.gif
    215.1 KB · Views: 40
pia umesahau watu wa nairobi mkipanga nyumba moja hakuna salamu asbuhi yaan kila moja akiamka na 50 zake
Hii ilinishangaza sana aisee, siku moja nimeamka asubuhi nikamkuta mama mwenye nyumba nje anafanya usafi nikamsalimia shkamoo wala hakuitika mwenyeji wangu akaniambia achana naye hapa sio Tz wewe ukikutana na mtu pita kimya kimya hamna salamu labda kama mnafahamiana
 
Hahahaha we jamaa bha tembea uone mkuu sio unalishwa matango ya kwenye data tu utomaso nao unasaidia.
Mimi nimetembea sana. Mpaka Kilolo , Njombe na kule kwa wakinga nimefika
 
Kuhusu Swala la kutokutumia maji sio Nairobi pekee yake mkuu,... Ukienda Congo, Zambia, Zimbabwe, Botswana, South Africa na baaadhi ya nchi nyengine.hizo nilizo Nchi nilizozitaja nimezitembea kwa nina Experience nazo, ..nikipata demu nikienda nae home lazima nimpige maji kwanza ya kutosha yaani tunaoga pamoja ili ni enjoy pezi la sivyo ni mwendo wa kula papuchi huku unafumba pua
Hata ulaya wazungu hawatumii maji na ndo maana madem was kizungu wana kiharufu!..ndo utamaduni huo wamewaambukiza nchi ilizozitawala kwa muda mrefu
 
Pia wengi wao wanaishi kwa apartments na nyumba zao nyingi ni gorofa.

Pia wako na Wi-Fi kwenye matatu zao nyingi.

Pia matatu zao ni kupanga foleni esp kwa sehemu zenye abiria wengi. Hii wa Tz tuige
Kodi ni kila mwezi hakuna mambo ya kodi sijui miezie6 sijui mwaka hakuna
 
Back
Top Bottom