Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,956
. Warembo. Kwa kweli siitaji kuwa mnafiki hapa . Wasichana wa Nairobi wamekomaaa kinyamaa. Sura ngumu kweli kweli. Uweza kaa nusu saa Bila kuona binti mrembo
Mkuu, katika hiyo nukta #5 mbona hujatoa ushauri??