Punyeto ndio nn wazee?
Msaada tafadhali
Usiogope hizo ni safety valves zinajifungua kuachia mzigo usikusumbue, ulipokuwa unapiga puli mwili ulikuwa unatumia kiasi kikubwa cha protini kutengeneza manii itachukua muda mwili kubadiri matumizi ya protin na kutengeza vitu vingine muhimu.Mimi nilipiga hiyo kitu kwa miaka 8 ilinifanya kitu mbaya sitokaa nikarudia
Ni miezi saba sasa toka niache nazingatia tizi na kula vizuri na Hali yangu ilishaanza kuwa shwari.
Lakini cha kushangaza toka niache wiki mbili zilizopita nimekuwa naota nafanya mapenzi nikiamka asubuhi nakuta nimechafua bukta.
Sasa kali wiki iliyopita nimepiga viwili nikiwa usingizini, kwasababu mara ya kwanza baada ya kumwaga manii niliamka saa saba nikabadili bukta, kuamka asubuhi nakuta tena nimechafua mara ya pili
Hii Hali ilinishangaza na kuniogopesha. Na ukizingatia kipindi napiga puli haikuwahi kunitokea
Poa nimekupata na ahsante kwa ushauriUsiogope hizo ni safety valves zinajifungua kuachia mzigo usikusumbue, ulipokuwa unapiga puli mwili ulikuwa unatumia kiasi kikubwa cha protini kutengeneza manii itachukua muda mwili kubadiri matumizi ya protin na kutengeza vitu vingine muhimu.
Mkuu mbona unatoka povu jingi sana. Jf ya wote kila mtu yupo huru kusoma thread na kucomment.kama hujui hata maana ya punyeto huku umefuata nini?
Boarding tulikuwa tunatoboa godoro halafu tunaweka ndomu halafu unafanya mambo yako bila mikonoBila mkono itakuwa labda mdimo Kama atafika.
kuna jamaa alikuwa anatafuta nzi anamuweka kwenye kimfuko kidogo alafu anafunga mfuko kwenye dushe anakuwa anamtekenya pale nzi akiwa anacheza cheza
nimeshindwa kujizuia imebidi nicheke tuKwani bathroom si unakuwa busy kuoga?Utakuaje busy had bathroom?![]()
Kwani bathroom si unakuwa busy kuoga?Utakuaje busy had bathroom?![]()
Sasa vipi mamii?Hahaha kumbe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Eti na wewe ni saint!!!!,kwenye mada km hizi hukupaswa kuwepo;huku tuachie sisi wakossefu wenye dhambi.Toboa godoro
Kidume kilifanya kazi yake.nyeto siyo nzuri...kuna dogo mmoja nilimwachia chumba nikasafiri, nilivyorudi nilikuta chumba changu kachafua yani pananuka kweli kweli
We tafadhali tuheshimiane,tena ishia hapo hapo,usinione humu jukwaani kama kibaka,kumbuka kujiheshimu na pia ushike adabu yako tafadhali au unataka ngalambe?,usione wanawake wote humu jukwaani ni maharage ya mbeya au ni vitafunwa.Mkuu umeniacha hoi sana kesho piga puchu mwana jamii mwenzetu miss chagga mtoto mkali sana huyu.
Kwanini mkuu????,tuelimishe wenzako.Pia wapiga pull wengi kwenye mambo ya meditation huwa wanafeli sana
Vipi hali?huko Dodoma hamjambo?Hata wanawake wanafanya sana