Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,212
Hii kitu mbaya sana
Hii kitu nilianza kiutani tu, siku moja nilikaa na grup moja hiv tukiwa 4m4 wakaongelea nilikua sijawah kusikia before, nikawa nashindana nifanye au nisifanye, siku moja nikaona ngoja nijaribu nione inavokua asee ndo ukawa mwanzo wa safari ya Punyeto(imenitesa sana).
Ilifikia sasa unatafuta mwanamke unachati nae 4n sex( wanawake wengi wanapenda sana huu mchezo) wengi walikua wanaanzisha wao mpaka nikawa nimebobea kwenye huo mchezo ukawa wa kufanyia punyeto.
From 4m4 up to mwaka wa 3 nafanyaga tu.
ilifikia mahali nikawa naamka usiku nalia peke angu tu nataka niache nashindwa. Siku moja niliumwa upele sehemu za siri ishu yote ilijaa upele unauma balaa, kijana alinyongonyea sanaa. Nilipona sitaman tena hata kuweka mkono huko chini.

, na kuacha huwa inakuwaga mbinde sana hii nimeona kwa watu wengi sana
usirudie kupiga puli asee!!! utapona tu kuwa na iman kwanza kwamba unaweza pona!!!