Nilichojifunza kuhusu punyeto

Nsema

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
275
479
Ndugu wana JF,

Nimekuwa nikifatilia mabandiko mengi yanayohusiana na suala la watu kufanya mapenzi binafsi (self love) au maarufu kama punyeto.Kwa ujumla mimi ni mdau na nimefanya sana punyeto nazijua faida na hasara zake.

Faida za punyeto;
1. Hulinda ndoa. Mfano kama mumeo na mke wako yupo masomo au kaenda kusalimia ndugu. Punyeto ni mwokozi wa ndoa.
2. Punyeto ni kinga madhubuti dhidi ya magonjwa mfano UKIMWI na magonjwa mengine ya zinaa.
3. Punyeto husaidia kuchangamsha akili pindi unaposongwa na mawazo.
4. Punyeto husaidia kuondoa usumbufu wa wanawake wanaoringa na kuzungusha wanaume kama unafuatilia msaada kwa mhisani.
5. Punyeto husaidia kusave hela kwa shughuli zingine za maendeleo.
6. Punyeto huleta uchangamfu wa mwili ukiwa umechoka.

Hasara za punyeto;
1. Unaweza ukatumia muda mrefu kufika kileleni kwasababu papuchi ni pana.
2. Kuathirika kisaikolojia na ikaweza kuathiri uwezo wa kufikiri.
3. Unaweza ukafika kileleni Mara moja na usirudie tendo kwasababu ya kulegea kwa misuli ya dushee kuliko sababishwa na nguvu kubwa za mikono.
3. Kukimbiwa na wanawake kutokana na kuchelewa kufika kileleni kwasababu kila mwanamke utaona anapwaya papuchi yake.

4. Kuchubuka kama kemikali zitatumika.

Ni hayo tu karibuni tuelimishane.
 
Mimi nimeanza kupiga nyeto toka nimeingia standard 7 mwaka 2004 nilipo balehe tuu nikaanza...
Mpaka naingia form one tabora boys mwaka 2005 ndo nikazidisha sanaa... Kila mda wa kuoga..
Ucku naamka naenda uwanjan au nyuma ya bweni la Kimweri pale piga kamoja narud kulala...

Haya nikimaliza six, nikaingia UDSM mwaka 2011 coet pale piga sana puli mabafu ya block E mabibo hostel palee...

Mpaka namaliza degree yangu mwaka jana 2015 bado tu napigaa (udomozege shida sana)

Haya ni hivi mwaka huu ndio nimeshtukia mchezo baada ya kuona peformance yangu kitandan na mademu iko very weak (KAMOJA TU HOIII)

Hivo niko ktk harakat kabambe za kuachana nayo kabisaaaa...
Sasa hivi navuta hadi Mwezi ndio nashtua tenaaa

Mazee puli mbaya ukiendekeza. Lakin pia ni tamuuuu..
 
Upo sahihi
 
nyeto siyo nzuri...kuna dogo mmoja nilimwachia chumba nikasafiri, nilivyorudi nilikuta chumba changu kachafua yani pananuka kweli kweli
 
Back
Top Bottom