Nilichojifunza kuhusu punyeto

Nilichojifunza kuhusu punyeto

Umenivunja mbavu,,,, duuhh!! Kweli duniani kuna mambo!!
 
We tafadhali tuheshimiane,tena ishia hapo hapo,usinione humu jukwaani kama kibaka,kumbuka kujiheshimu na pia ushike adabu yako tafadhali au unataka ngalambe?,usione wanawake wote humu jukwaani ni maharage ya mbeya au ni vitafunwa.
Hahahahahaha...................mkuu naona umewaka sn jamaa anakula kwa hisia tu
 
Kwa watu ambao wapo single na hawapo tayari kuwa kwenye mahusiano kwa sababu mbalimbali basi puchu ndio suluhisho la yale mambo yetu na kwa upande wangu naona ni sawa tu.

Ila ukitaka kuacha basi ni rahisi, tafuta manzi au oa...nakuhakikishia hutakaa kufikiria habari za puchu kamwe, labda kama mkeo akiwa amesafiri au vise versa.

Kuhusu madhara huenda yapo. Lakini kwa upande wangu sija experience madhara yoyote isipokuwa hilo la kuchelewa kutoa wazungu, of which in some occassion, it's good.
 
Mimi nilipiga hiyo kitu kwa miaka 8 ilinifanya kitu mbaya sitokaa nikarudia
Ni miezi saba sasa toka niache nazingatia tizi na kula vizuri na Hali yangu ilishaanza kuwa shwari.
Lakini cha kushangaza toka niache wiki mbili zilizopita nimekuwa naota nafanya mapenzi nikiamka asubuhi nakuta nimechafua bukta.
Sasa kali wiki iliyopita nimepiga viwili nikiwa usingizini, kwasababu mara ya kwanza baada ya kumwaga manii niliamka saa saba nikabadili bukta, kuamka asubuhi nakuta tena nimechafua mara ya pili
Hii Hali ilinishangaza na kuniogopesha. Na ukizingatia kipindi napiga puli haikuwahi kunitokea
You have the spirit of musterbation, tafuta watumishibwa Mungu ukaombewe.
 
H
Hiyo kitu si nzuri kabisa, nakumbuka nilikuwa nikiipiga kwa kutumia lotion ya nywele ya kike, ilawa nikiwa kwenye basi au train, kama kuna mwanamke kapaka ile lotion nikiisikia harufu basi mzee athumani anasimama anadai chakula yake.
ahhahaahaaa! We Ni noma
 
Kila la heri sana kamanda, ila huyo jamaa yetu mwachie mwanya wa kupigia mambo yetu yale.
Ruksa tu,coz nitawezaje kuzuia wakati mtu anafanya na roho yake taratibu huku akimuwaza fulani,tatizo asije jukwaani kutaja jina la baby na kutangaza,yeye apige mshikaki wake bila bugudha.
 
DAH, punyeto bhana, yaani ukimaliza kupiga unajiapia kabisa utaacha punyeto..lkn baadae unarudia tena,,,duh kumshinda huyu kiumbe kazi kweli, sijui anatumia limbwata!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom