Nilichojifunza Dar es Salaam mpaka sasa

Nilichojifunza Dar es Salaam mpaka sasa

Watu wa dar ni wabinafsi ,wakatili ,hawana ushirikiano ,hawaongeleshani ,ni wachoyo hatari ,Wana njaa hatari ....

Maisha ya dsm ni magumu hatari ,imagine mtu kapanga chumba kimoja ,humo ndani analala yeye ,mke wake ,watoto watatu Tena jinsia tofauti ...bado ndoo za maji +gesi +vyombo+sufuria +madumu +feni + ..... chumba kina makolokolo Kama stooo ....

Usione hawapendi kukalibisha wageni ukafikili wanapenda ohooooo ni mazingira magumu tu ..!!
mkuu kule ni Jijini kuna ubepari yani ukauzu na roho mbaya tofautisha na huko kijijini kwenu kwenye ujamaa
 
Watu wa dar ni wabinafsi ,wakatili ,hawana ushirikiano ,hawaongeleshani ,ni wachoyo hatari ,Wana njaa hatari ....

Maisha ya dsm ni magumu hatari ,imagine mtu kapanga chumba kimoja ,humo ndani analala yeye ,mke wake ,watoto watatu Tena jinsia tofauti ...bado ndoo za maji +gesi +vyombo+sufuria +madumu +feni + ..... chumba kina makolokolo Kama stooo ....

Usione hawapendi kukalibisha wageni ukafikili wanapenda ohooooo ni mazingira magumu tu ..!!
Unaongelea maisha ya Uswahilini wewe, bado haujaifahamu Dar vizuri
 
Bongo ni kawaida unaweza ukawa unatubu zako ghetto huelewi waya mkali hujaiona siku kwa mlo hata mmoja, wakati huo mtaa wa jirani kuna wahuni wanavunja glass, bangi nyingi, vifua wazi na babecue wakiwa wameegesha ndinga zao za hatari uwani wakiburudishwa na milupo pisi kali. Yani kama mtoni vile. Wanatumia hela tu hata week nzima.
Umenikumbusha maisha yangu ya sinza
 
Dar ni jiji la fursa ni sehemu pekee ambayo kila mtu ana nafasi sawa ya kufanikiwa kwa sababu ya mzunguko mkubwa wa pesa uliopo hapo.
Hamna mambo ya kufatiliana eti sijui kulogana kizembezembe. Cha muhimu we fata lililokuleta utaniambia

Ndio nikasema miji yenye waislamu wengi huwezi kukuta huo ujinga, may be wachache sana.

Tanga lina waisilamu wengi na huwezi sikia mauwaji ila mara chache sana.

Singida waislamu ni wengi sana lakini huwezi sikia hayo mauwaji

Zanzibar ina waisilamu wengi zaidi ya asilimia 90 na hutasikia mauwaji

Kigoma pia hivyo hivyo

Mikoa yote ya pwani

Tabora pia hivyo hivyo ila wachache sana labda wanaoishi pembeni

Kilwa

Lindi

Mafia


In short wilaya/mkoa wowote wenye waislamu wengi mauwaji huwa sio sanaa.
 
Andika kiswahili fasaha, Acha ujinga na upuuzi kuiga watu wa Kenya

Jitu zima na mandevu yako Unaandika kiswahili ambacho hakitumiki kimuundo

Eti"Ukipita kwa bar"

Kwa bar sio kiswahili fasaha

Mnaiga mambo ya mombosa huko, Mnaiga mpaka kuinamishwa
Kwani umelazimishwa...?! Huu ndio uhuru wa matumizi ya kimtandao ambao wengi wenu mnautaka kumbe?!... Yani nyie watoto mnaosomeshwa na halmashauri za vijiji huwa mnatumika hovyo sana katika Elimu mlizo bahatika kupata yani hovyo kabisaa.
 
Sasa watu wa dsm asilimia 80 si wanakaa uswahili ...Hawa aslimia 20 ndio utakuta wanakaa masaki ,mbezi beach ,mikocheni ,....
Kwa point hiyo usiiseme Dar tu kwani watanzania asilimia kubwa wengi ni maskini, nitajie mkoa ambao asilimia 80 ni matajiri na asilimia 20 ni maskini.
Si bora hata hapa Dar kuliko huko mikoani
 
Sio Masikini mkuu wengi wa wakaazi wa hili Jiji hususani walioajiriwa viwandani hata baadhi ya sekta za Serikali Mshahara wao hautoshi kukidhi maisha Yao

Unafanya kazi mpka tar 22 Pesa yote ya Mshahara umeshaitumia kwa malimbikizo ya mikopo, Maradhi, chakula na Makazi

Duh, wanaishi maisha ya kubahatisha
 
Dar ovyo sana,nime-expirience maomba omba wakamilifu wamekua wengi.Juzi nimeenda kwa mishe zangu binafsi,ukiwa smart wanajua unazo,mara mbili niko mgahawani,mtu from no where anaomba umnunulie chakula,Yes nanunua naijua njaa, wanawake zaidi ya wawil wanaomba nauli sijui ya mkuranga, God forgive me,sikuwapa..

Nimekua dar mara nyingi sikuwahi kukutana na hii situation kabisa,na mikoani hakuna kabisa huu udwazi...
Naamin saiz maisha ni magum kuliko msimu wa Jembe JPM...
Tuendelee kukopa f..u..c...k
Hii ya kuombana hela njiani inanikeraga yaan acha na sio wanawake tu hata wanaume anagongea nauli njiani 'naelekea mbezi sina nauli' ila mimi sio mtu wa kukunja hua nawapa inategemea amekujaje
 
Dar kutamu asikudanganye mtu hakuna mambo ya ukabila wala udini labda kwa waajiriwa is kitaa kikubwa unajishugulisha hamna ishu za kuchorana hata uokoye makopo huku ukifanikiwa kujenga unamaliza kazi unaweza kuweka hata Banda la chips nje kwako ukakamata pesa hata 50k per day mikoani jau ushamba mzigo mikoa yote Ina kasoro ukabila na udini ndo maana napenda dar japo sip kwetu

Mpango mzima viwanja mi kuishi mkoa ambao hauna bahari ni sumu na siwajai kuishi labda mwanza maana kuna ziwa napenda tu

Mchanganyiko mkubwa wa watu hamna inferiority complex kikubwa upambane ila huko mikoani washamba kithenge
Mule mule
 
Inategemea mkuu, Dar es salaam ndiyo Tanzania penyewe.
Mambo yote yako hapa Dar.
Watu masikini wako hapa, matajiri pia wako hapa.
Na mkoa wowote, hali ni hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom