Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
Dar kutamu asikudanganye mtu hakuna mambo ya ukabila wala udini labda kwa waajiriwa is kitaa kikubwa unajishugulisha hamna ishu za kuchorana hata uokoye makopo huku ukifanikiwa kujenga unamaliza kazi unaweza kuweka hata Banda la chips nje kwako ukakamata pesa hata 50k per day mikoani jau ushamba mzigo mikoa yote Ina kasoro ukabila na udini ndo maana napenda dar japo sip kwetu
Mpango mzima viwanja mi kuishi mkoa ambao hauna bahari ni sumu na siwajai kuishi labda mwanza maana kuna ziwa napenda tu
Mchanganyiko mkubwa wa watu hamna inferiority complex kikubwa upambane ila huko mikoani washamba kithenge
Dar ni jiji lenye waisilamu wengi kuliko dini zingine, ndio maana hata mauwaji sio mengi kihivyo.



