rajiih
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 500
- 757
- Thread starter
- #21
Mjini deals Mzee ukitegemea mshahara hutoboi [emoji110]Bongo ni kawaida unaweza ukawa unatubu zako ghetto huelewi waya mkali hujaiona siku kwa mlo hata mmoja, wakati huo mtaa wa jirani kuna wahuni wanavunja glass, bangi nyingi, vifua wazi na babecue wakiwa wameegesha ndinga zao za hatari uwani [emoji23][emoji23][emoji23] wakiburudishwa na milupo pisi kali. Yani kama mtoni vile. Wanatumia hela tu hata week nzima.