Sijataja CHADEMA hapaWaamboe wasikulaumu bure kwani wewe no ccm ndiyo maana una akili hizo
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Soma tena wewe mwenyewe ukielewa itabidi nirudie tena chekechea!Ukiona macho ya mnyama yamewaka (yanawaka) basi ujue kuwa umetizamana (unatazamana) macho kwa macho na mnyama huyo yaani macho yako na macho ya mnyama huyo yametazamana
Kwahiyo bablai kama ndo umeona mnyama hatari anawaka macho tafadhali anza "kutafakari na kuchukua hatua"
Nyuma ya retina kuna layer ngumu inayoitwa tapetum, mnyama anapomulikwa na tochi au kitu chenye mwanga mkali,huu mwanga unaenda kupiga moja kwa moja kwenye tapetum ,tapetum una akisi mwanga (reflect) kwenye retina hivyo inapelekea macho ya mnyama kuwaka.Ukiona macho ya mnyama yamewaka (yanawaka) basi ujue kuwa umetizamana (unatazamana) macho kwa macho na mnyama huyo yaani macho yako na macho ya mnyama huyo yametazamana
Kwahiyo bablai kama ndo umeona mnyama hatari anawaka macho tafadhali anza "kutafakari na kuchukua hatua"
Umekuja vizuri sana... sasa niende nje ya mada kidogo; tunaambiwa kuwa ili uweze kuona kunahitajika mwanga katika jicho, hivi mfano unapoangalia kitu gizani (unapoona kitu kwenye giza totoro- mfano hayo macho kuwaka) je mwanga unatoka wapi?Nyuma ya retina kuna layer ngumu inayoitwa tapetum, mnyama anapomulikwa na tochi au kitu chenye mwanga mkali,huu mwanga unaenda kupiga moja kwa moja kwenye tapetum ,tapetum una akisi mwanga (reflect) kwenye retina hivyo inapelekea macho ya mnyama kuwaka.
Umesoma mpaka darasa la ngapi?Umekuja vizuri sana... sasa niende nje ya mada kidogo; tunaambiwa kuwa ili uweze kuona kunahitajika mwanga katika jicho, hivi mfano unapoangalia kitu gizani (unapoona kitu kwenye giza totoro- mfano hayo macho kuwaka) je mwanga unatoka wapi?
Pia ukisema kitu chenye mwanga mkali nakataa kwasababu jua ndilo baba la mwanga mkali lakini hatuoni macho yakiwaka mchana
[emoji16]Na yako yanawaka kwake usijali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hata macho ya kabudi yanawaka usiku hata usipotazamana naye
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Waamboe wasikulaumu bure kwani wewe no ccm ndiyo maana una akili hizo
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app