Nilichogundua kuhusu macho ya wanyama kuwaka

Nilichogundua kuhusu macho ya wanyama kuwaka

Sio kweli kabisa mkuu. Kafanye upya utafiti. Mchunguze mnyama akiangalia upande mwingine na uliko wewe,halafu kuwe na mwanga kule alikoangalia
 
Imeshakua balaa hii, maana nikimtazama simba kwenye TV nakuta yanawaka sana..
 
Achakutulisha matango pori. Macho ya mnyama yanawaka kwa sababu kuna utando ndani ya macho yake unaokusanya mwanga ili aweze kuona usiku.

Hebu nikuulize, ukitegesha kamare usiki na kuona picha za mach ya wanyama yanang'aa, ni kwa sababu macho ya wanyama na ya kamera tametazamana?

Vitu vingine kama hamjui ni bora kuuliza
Walau wewe!
 
Ukiona macho ya mnyama yamewaka (yanawaka) basi ujue kuwa umetizamana (unatazamana) macho kwa macho na mnyama huyo yaani macho yako na macho ya mnyama huyo yametazamana

Kwahiyo bablai kama ndo umeona mnyama hatari anawaka macho tafadhali anza "kutafakari na kuchukua hatua"
Kama umeona kwenye television macho yanawaka inakuaje sasa kwenye iyo situation....naona kama husemi ukweli
 
Dah asante mkuu mimi mwenyewe mwanangu alikuwa ananiuliza kila siku namzungusha ngoja nikamjibu.Asante mkuu tuendelee kusaidiana hivi hivi
 
hizi ni dalili mbaya sana,, anyway mkuu na sisi tunaoona macho yao yakiwaka kwenye tv inakuaje ??.. pia tunakua tumetizamana au ?
Video (tv) haijawahi kuwa mnyama... halafu, hivi tunaposema picha ni mchoro wa kitu kinavyoonekana mbele ya mtazamaji tunamaanisha nini vile?
 
Video (tv) haijawahi kuwa mnyama... halafu, hivi tunaposema picha ni mchoro wa kitu kinavyoonekana mbele ya mtazamaji tunamaanisha nini vile?
ivi we mwenyewe umeelewa ulichokiandika ??
 
Back
Top Bottom