Nilichogundua kuhusu macho ya wanyama kuwaka

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,208
2,808
Ukiona macho ya mnyama yamewaka (yanawaka) basi ujue kuwa umetizamana (unatazamana) macho kwa macho na mnyama huyo yaani macho yako na macho ya mnyama huyo yametazamana

Kwahiyo bablai kama ndo umeona mnyama hatari anawaka macho tafadhali anza "kutafakari na kuchukua hatua"
 
Acha kutulisha matango pori. Macho ya mnyama yanawaka kwa sababu kuna utando ndani ya macho yake unaokusanya mwanga ili aweze kuona usiku.

Hebu nikuulize, ukitegesha kamera usiku na kuona picha za macho ya wanyama yanang'aa, ni kwa sababu macho ya wanyama na ya kamera yametazamana?

Vitu vingine kama hamjui ni bora kuuliza
 
Ukiona macho ya mnyama yamewaka (yanawaka) basi ujue kuwa umetizamana (unatazamana) macho kwa macho na mnyama huyo yaani macho yako na macho ya mnyama huyo yametazamana

Kwahiyo bablai kama ndo umeona mnyama hatari anawaka macho tafadhali anza "kutafakari na kuchukua hatua"
Waamboe wasikulaumu bure kwani wewe no ccm ndiyo maana una akili hizo

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
hizi ni dalili mbaya sana,, anyway mkuu na sisi tunaoona macho yao yakiwaka kwenye tv inakuaje ??.. pia tunakua tumetizamana au ?
 
Ukiona macho ya mnyama yamewaka (yanawaka) basi ujue kuwa umetizamana (unatazamana) macho kwa macho na mnyama huyo yaani macho yako na macho ya mnyama huyo yametazamana

Kwahiyo bablai kama ndo umeona mnyama hatari anawaka macho tafadhali anza "kutafakari na kuchukua hatua"
Madhara ya kutawaliwa na ccm ndio haya.

Ccm ni mtambo wa kudhalisha wajinga.
 
Ukiona macho ya mnyama yamewaka (yanawaka) basi ujue kuwa umetizamana (unatazamana) macho kwa macho na mnyama huyo yaani macho yako na macho ya mnyama huyo yametazamana

Kwahiyo bablai kama ndo umeona mnyama hatari anawaka macho tafadhali anza "kutafakari na kuchukua hatua"
Na yako yanawaka kwake usijali
 
Ukiona macho ya mnyama yamewaka (yanawaka) basi ujue kuwa umetizamana (unatazamana) macho kwa macho na mnyama huyo yaani macho yako na macho ya mnyama huyo yametazamana

Kwahiyo bablai kama ndo umeona mnyama hatari anawaka macho tafadhali anza "kutafakari na kuchukua hatua"
sio kweli
 
Mweee usituchoshe mkuu....
 
hizi ni dalili mbaya sana,, anyway mkuu na sisi tunaoona macho yao yakiwaka kwenye tv inakuaje ??.. pia tunakua tumetizamana au ?
Apo inawezekana ni macho ya anaechukua video yalitazamana na ya huyo mnyama
 
Back
Top Bottom