Ahsante kwa matusi lakini si mapya kuliko nilivyotukanwa katika miaka yangu sabini ya maisha.Nadhani wewe ndo mjinga kuliko badala uje na point zako unakuja kunijadili mie ,Lumumba Lumumba unadhani kila alie against ni mfuasi wa hizo siasa uchwara ovyooo
Kwani ni uongo Arusha haitegemei uwanja wa KIA? au hicho kiuwanja cha kisongo ni cha dingi ako make umekua mkali kama umekalia kitu chenye ncha Kali
Hayo najua yapo starehe ukiipenda unaweza ukajua uzuri wa sehemu ni hizo sehemu za starehe yako, hiyo inaitwa general assumptionMkuuu wakupeleke club D, tripple A, sakina ndo, ngurudoto, matongee karibu na fire. Na mchana ukale buffee au maeneo ya clock tower . Jioni upite maeneo ya town masjid cuba hadi maeneo ya mrina ule kuku mboga mboga . Ukiweza hata robo urudi na uzi wako.
Umetumia chanzo kisicho sahihi kwa hoja yako ndiyo0 maana umejaribu ujinga. Mimi ni mzaliwa na mwenyewe wa Arusha nina vitukuu naijua Arusha kuliko wewe. Nazungumza kwa kuelewa siyo kwa kutokiuelewa bali kwa kuishi. Hata hivyo nashukuru kwa kudhihirosha ujingta wako.Naona umejaribu huo ujinga
Umeona sasa kumbe unapenda chura, na huwaga mnajifanya mmekosea njia mkishapiga viroba vyenuChura
Acha mizuka ya ukawa na ukuta jibu hojaUsionyeshe ujinga hadharani hata kama ni wa lumumba you are better than that.
Ona sasa mtu mzima unanizidi miaka 50 afu unaleta utoto aagrrr shkamoo kwanza....Ahsante kwa matusi lakini si mapya kuliko nilivyotukanwa katika miaka yangu sabini ya maisha.
Huna hoja kama ni ushabiki Arusha siyo level yako wala ya unaowashabikia. Imewashinda waliokutuma wanakutumia.
Nakupa hongera kwa tusi "umekua mkali kama umekalia kitu chenye ncha Kali" ndiyo malezi uliyolelewa na elimu ya mafanikio ya chama dola.
Naomba tusi lingine.
Hadi Dom! umezingatia zaidi matei lounge, maisha, rainbow na wale wanasiasa wanaojikusanya bila kuonekana live kwenye kimjengo chaoKwa tulioisakanya TZ tunajua, ukisema jiji unamaanisha DSM then Arusha, Mwanza kwa karibu, ila Mbeya, Dom (ya sasa), Tanga, Mtwara na Unguja ndo zinafuatia
Mikoa yoote iliyobaki bado sana
Kwa hiyo wa Arusha wana hela sana?Salute kwako Kamanda.
Kama mtu hana hela asije Arusha.
Kalaga baho ni ujinga wako. Maana precionair ni dar. Kamshikamoo mjinga mwenzio magu foolOna sasa mtu mzima unanizidi miaka 50 afu unaleta utoto aagrrr shkamoo kwanza....
Hoja hujibu unaruka ruka tu ,nishasafiri mara mbili nakata tiketi za precision kwenda mwanza ila tunapanda costa hadi KIA sasa kwanini hatuanzii safari Arusha?????
Hapa nimezungukwa na majirani zangu wanagonga viroba vingii na bia zipo, na ukute ndyo wanapost kama hauna hela husije Arusha, wengine viroba vinewakwangua wanadoea chipsi mayai ya counter, hii inaonyesha hawana bajeti ya msosiSalute kwako Kamanda.
Kama mtu hana hela asije Arusha.
Hivyo vipo vinajulikana tueleze na changamoto mkuu maana ndyo kiini cha madaWaambie baba umesahau na Geneva OfAfrica IPO chugga ,Aicc je? 4ways ya kutoka sakina adi Holili Taveta Kenya je?? Aaahh waache bhna chugga tunaenjoy balaaaaa iv Nimesahau Madini ya Tanzanite je? Aya ngoja nikimbie naruhusu kupigwa mawe
Kwa hiyo Arusha ndyo Geneva ya Africa?Umetumia chanzo kisicho sahihi kwa hoja yako ndiyo0 maana umejaribu ujinga. Mimi ni mzaliwa na mwenyewe wa Arusha nina vitukuu naijua Arusha kuliko wewe. Nazungumza kwa kuelewa siyo kwa kutokiuelewa bali kwa kuishi. Hata hivyo nashukuru kwa kudhihirosha ujingta wako.
Mmmh....Ostentation at its finest.Mji wenye mabilionea wengi kushinda sehemu nyingine Africa nzima
Duh watu mmeleta mahaba tu hapa hakuna asiejua kama arusha ni kuzuri, again arusha ni pazuri mnooo ila kwanini stand ipo vile ,kwanini hakuna kiwanja cha ndege cha maana?Kwa tulioisakanya TZ tunajua, ukisema jiji unamaanisha DSM then Arusha, Mwanza kwa karibu, ila Mbeya, Dom (ya sasa), Tanga, Mtwara na Unguja ndo zinafuatia
Mikoa yoote iliyobaki bado sana
Hua pana sehemu nzuri sana ya kulia kuku!!Kuna nini mkuu
Ili kupata sehem unazozihitaji,inahitaji kuwa na fedha ya kutosha kuwa na mtaji wa kutosha ili kusudi ufurahie uumbaji wa binadamUnahitaji sh ngapi kuuzunguka mji au una maanisha ma ulevi na wanawake wa kununua
Kwanza mtoa mada yaonyesha we ni mporiporiHaina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni
Pole mzee naona una stress za kufa mtu ha ha ha mafao yamechelewa nini, kwaheri bana we ni rika la dingi angu ni dhambi kuzinguana na wewe kwaheriKalaga baho ni ujinga wako. Maana precionair ni dar. Kamshikamoo mjinga mwenzio magu fool