Nilichogundua kuhusu Arusha


Mkuuu wakupeleke club D, tripple A, sakina ndo, ngurudoto, matongee karibu na fire. Na mchana ukale buffee au maeneo ya clock tower . Jioni upite maeneo ya town masjid cuba hadi maeneo ya mrina ule kuku mboga mboga . Ukiweza hata robo urudi na uzi wako.
 
Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Evelyn Salt JF Expert Member nenda upate takwimu za ndege na abiria Tanzania na Africa linganisha na kauli yako. Huo unaitwa ukosefu wa elimu unaoendeshwa kwa mafanikio na Lumumba.

Mwaka 1972 Arusha Airport ilikuwa inaongoza Africa, labda tuwaulize CCM imetokea nini?
 
Unahitaji sh ngapi kuuzunguka mji au una maanisha ma ulevi na wanawake
 
Asie na elimu nani?
kuna ndege ya abiria inafanya safari Arusha mwanza ,Dar na kwingineko??? From Arusha sio KIA
 
Nikikwambia huelezee wapi Arusha iliposahauliwa, pamoja na mazuri mengi iliyo nayo unaweza niambia?
 
Usionyeshe ujinga hadharani hata kama ni walumumba you are better than that.
Nadhani wewe ndo mjinga kuliko badala uje na point zako unakuja kunijadili mie ,Lumumba Lumumba unadhani kila alie against ni mfuasi wa hizo siasa uchwara ovyooo
Kwani ni uongo Arusha haitegemei uwanja wa KIA? au hicho kiuwanja cha kisongo ni cha dingi ako make umekua mkali kama umekalia kitu chenye ncha Kali
 
Salute kwako Kamanda.

Kama mtu hana hela asije Arusha.
 
Waambie baba umesahau na Geneva OfAfrica IPO chugga ,Aicc je? 4ways ya kutoka sakina adi Holili Taveta Kenya je?? Aaahh waache bhna chugga tunaenjoy balaaaaa iv Nimesahau Madini ya Tanzanite je? Aya ngoja nikimbie naruhusu kupigwa mawe
 
AR iko poa tu
Hata Nyani Ngabu ameikubali
Atakuwa alienda kiwanja akaopoa mtoto wa kimbulu akapewa show hataree akadata, labda kesho yake akaenda tena sehemu aka opoa tena, kwa upande wa vimwana ilo sipingi, kuna jamaa angu alikujaga faster kuchukua msichana wa kuzaa naye, siyo wa kuoa kwa ajili ya mbegu tu
 
Wakazi wa Arusha ni wabinafsi. Wana roho mbaya hata ongea yao ya kikatili katili tu mpaka wanawake...Mi nikifikaga Arusha kuna niboa sana kesho yake natamani kuondoka...Bora uishi Njombe au Songea wakazi wa huko wanaroho nzuri sana..
Huenda kuna ukweli ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…