Nilichogundua kuhusu Arusha

Vile vindege vya watu kumi huwa vinaenda safari za wapi?
Sio za watu 10 pekee hata za watu 50 zinatua pale precision wanatua hapo regional airlines zipo flights za nairobi, zanzibar, dar etc moja ya busy airport.

Kikubwa zaidi purposely ni utalii hakuna Boeing au Airbus inayoingia mbugani on top that KIA kipo 40km kutoka Arusha city center mwendo wa 35 minutes.

Think Big.
 
Sio swala la kuthink big ni kufahamishwa
 
Arusha inayo zaidi ya double road hii ni mojawapo.

Hapo bado pedestrian walk side, road lights, traffic signs na reflectors tufunge business.
Mkuu watu tunaobishana nao walifka arusha 2008 tena na Lori la dagaa na wakaishia pale kilombero sokon na stand sasa tukiwawekea picha km hzi wanafkir n Nairobi...!
 
Kwanini sasa lilipelekwa mwanza na sio arusha? Unafikili walikurupuka tu kwenda kujenga kule bila kujua potentiality ya market? Ukitoa Dar, Mwanza ndio jiji linalokuwa kwa kasi, ukibisha ni kwa sababu ya mahaba tu lkn ukweli ndio huo.
 
Arusha inayo zaidi ya double road hii ni mojawapo.

Hapo bado pedestrian walk side, road lights, traffic signs na reflectors tufunge business.
Double road kwa msaada wa jumuiya.bahati imekua mpakani otherwise ingebak double road ile ile ya aicc ya meter 600
 
Jamani tumieni tu lugha yetu ya kiswahili,😀
'As far as i'm know! 😕
 
Kwanini sasa lilipelekwa mwanza na sio arusha? Unafikili walikurupuka tu kwenda kujenga kule bila kujua potentiality ya market? Ukitoa Dar, Mwanza ndio jiji linalokuwa kwa kasi, ukibisha ni kwa sababu ya mahaba tu lkn ukweli ndio huo.
Pole mkoa masikini uliokithiri 2016 unakua kwa kasi maajabu ya mwaka.
 
Double road kwa msaada wa jumuiya.bahati imekua mpakani otherwise ingebak double road ile ile ya aicc ya meter 600
Jumuiya ndio imetoa pesa?
Hivi community ndio ilitoa tender?
Ndio imeshakua hivyo sasa hamna namna.

Hata Mwanza mshukuru change za sherehe za muungano mngebaki na ile ya nera - mahakamani mita 490 😀😀
 
Double road kwa msaada wa jumuiya.bahati imekua mpakani otherwise ingebak double road ile ile ya aicc ya meter 600
Ni ADB na Tanzania government ndio financiers Mwanza ndio wamepata kibahati ile pesa ya sherehe za muungano.

Hata kama ni issue cmplcted but naamin zipo, hzo formula unazodai naamin zipo kwa ajli ya kujibu such qn kama hutaona shida bas zitumie ili unijibu....kama uwezo wako umeishia kwenye data za mkoa basi....ni ukweli usiopingika kuwa wananchi Wa mkoa Wa mwanza ni maskini na ndo mana kwenye data za NBS, karbu kila sector Mwanza imelag behind five or more regions kama sikosei....but jiji la Mwanza performance yake ni kubwa sana, na wewe unalidharau kwa kuwa limebeba jukumu la mkoa mzima, ukianzia sengerema, kwimba, magu na ukerewe hakuna kitu kabisa na si ajabu wiaya zote hzo zikachangia only 4billion per year kwenye mkoa....mkoa arusha una vivutio kama , ngorongoro creator, riftvalley, national park, national reserve, mount meru, pia biashara ipo Chuga, madini nayo usiseme, sector ya uvuvi ipo, na sector ya agriculture pia Ipo....tourism yenyewe ipo kwenye top three ya sector zinazoingiza pato kwa kiwango cha juu, thus y Chuga ipo juu kimapato...Mwanza Hamna kitu zaid ya uvuvi na biashara.....naamini Mwanza ipo namba nne kwenye rank za tax bcse of Mwanza city.....ndo mana nikasema twende ndan zaid tuangalie miji na majiji yanacontribute kias gan ktk kodi? Tusiishie kwenye mkoa tuuu..... Mi ndo hoja yangu imejikita hapo...na kama hakuna official report bas hyo ni error ya TRA....huwez kuliponda jiji la Mwanza kwa takwimu za mkoa...mana kama ni hvyo bas mwmza inatakiwa iwe manispaa na mosh iwe jiji kitu ambacho si kweli....
 
Mkuu project ya maana Chuga ni safari city tuu....hzo zingine zipo kwenye master plan ambazo hata Mwanza zipo
 
Mkuu watu tunaobishana nao walifka arusha 2008 tena na Lori la dagaa na wakaishia pale kilombero sokon na stand sasa tukiwawekea picha km hzi wanafkir n Nairobi...!
Sasa mchome cha kushangaza hapo ni nin sasa hiyo double road ndo ya kujisifia....tafuta vitu bana siyo road za hvyo mana hata iringa zipo...mwanza ndo usiseme
 
Makelele tu barabara zenyewe ndo kwanza zinatengenezwa wakati barabara kama hizo zilikuwepo mwanza tangu Arusha ikiwa manispaa.
 
Kwanini sasa lilipelekwa mwanza na sio arusha? Unafikili walikurupuka tu kwenda kujenga kule bila kujua potentiality ya market? Ukitoa Dar, Mwanza ndio jiji linalokuwa kwa kasi, ukibisha ni kwa sababu ya mahaba tu lkn ukweli ndio huo.
Nimemwambia kuwa jiji la mwanza ni habari nyingine.....wanalipa mzigo Wa mkoa mzima na hapo kweli litaonekana si chochote...but service zilizopo Mwanza ni shiidah....serikali haijaweka mkono wake jijini mwanza...bas maghufuli ahamishie international affair zote Dodoma tuone kama Chuga kitabaki kitu
 
Watu wanapapenda sana Arusha inaelekea.maana mada za huko haziishi
 
Well said my home boy......

Aje tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…