Ngoja nikwambie mkuu, tukiangalia takwimu za majiji arusha haina nguvu mkuu...arusha ni mkoa Wa pili kwa mapato ya kodi na mwanza ni ya nne, arusha ipo kat ya mikoa mitatu yenye ahueni ya uchumi na Mwanza ipo kt ya mikoa mitano yenye hali mbaya kiuchumi....sasa inakuwaje watu maskini wanapandisha mkoa mpaka namba nne kwa kodi? Hapo utagundua kuwa Mwanza city ndo inayochangia 98% ya makusanyo ya mkoa, arusha pale mjin kat hakuna kitu, tanzanite na tourism attraction ndo vinabeba ambavyo havipo pale mjini kat...ila vinaingizwa kwenye mapato ya mkoa, kuanzia tanzanite mpak mbuga za wanyama, kuna lodge nying tu nzur zpo nje ya mji na zingine mbugani...mkoa Wa mwnza hauna kingine zaid ya biashara inayofanyika mjini kat, per day watu takriban lak saba huingia na kutoka kwa ajil ya biashara...hakuna hotel ya maana nje ya jiji, makusanyo ya kodi ya mkoa yamebebwa na mji, Hvyo mji hautegemei wakazi Wa mkoa cjui umenielewa....

Tusiongee maneno matupu angalia history ya Arusha hapa wanapambanishwa na mikoa miwili Mwanza na GeitaAcha uongo hata kwa hiyo HDI Arusha sio ya pili...
NBS wametoa takwimu generally kwa mkoa naomba ulete takwimu kwa miji pia.....!!!! Hakuna economic opportunity iliyopo Mwanza zaid ya uvuvi na biashara...kilimo rate yake ni ndogo sana kutokana na exhausted land.....arusha kuna mining, agricture, tourism na business..na hvyo vyote vimetapakaa almost the whole land of arusha....ndo mana nkakwambia haiwezekan hata kdogo maskini Wa Mwanza waufikishe mkoa kwenye namba nne katika ulipaji kodi ili hali ni choka mbaya...means hapa kuna kitu...mji wa mwnza ndo unaobeba hapo, na shughuli kubwa ni biashara na uvuvi..hakuna madini, hakuna tourism...sasa naomba takwimu za miji na majiji...try to be innovative, data zako haziwezi kuzuia watu kuargue, zipo more general....but kama umekomaa kimkoa zaid bas
Huo ni uongo kabisa, Hiyo Trilioni 1.27 Arusha wamekusanyia wapi...?! Hata zile data za bwana FisadiKuu hata nusu Trilioni hawajafika...Tusiongee maneno matupu angalia history ya Arusha hapa wanapambanishwa na mikoa miwili Mwanza na Geita
Mulongo amesema kuwa mkoa wa Arusha katika kipindi cha mwaka 2013 ilikusanya Sh. 1.27 trilioni ikilinganishwa na Mwanza na Geita ambayo inakusanya Sh. 123 bilion (2015). kitendo ambacho ni aibu kwa mikoa hiyo.
TRA Mwanza washindwa kufikia lengo
Yaani tena hapo ni mwaka 2013 Arusha ikiwa Manispaa, inakusanya Trilioni 1.27 yaani inaizidi Mwanza mara karibia kumi kwa kukusanya...Tusiongee maneno matupu angalia history ya Arusha hapa wanapambanishwa na mikoa miwili Mwanza na Geita
Mulongo amesema kuwa mkoa wa Arusha katika kipindi cha mwaka 2013 ilikusanya Sh. 1.27 trilion iikilinganishwa na Mwanza na Geita ambayo inakusanya Sh.123 bilion (2015) kitendo ambacho ni aibu kwa mikoa hiyo.
TRA Mwanza washindwa kufikialengo
Huo ndio ukweli mchungu 😀😀😀 Mulongo anaongea from experience ameshakua RC Wa Arusha muda mrefu na Mwanza vilevile.Yaani tena hapo ni mwaka 2013 Arusha ikiwa Manispaa, inakusanya Trilioni 1.27 yaani inaizidi Mwanza mara karibia kumi kwa kukusanya...
Tena hapo wanalinganisha hayo mapato ya Mwanza ni mwaka 2015...
Wewe na Mulongo mtakuwa waongo sana...
Ngoja nikwambie mkuu, tukiangalia takwimu za majiji arusha haina nguvu mkuu...arusha ni mkoa Wa pili kwa mapato ya kodi na mwanza ni ya nne, arusha ipo kat ya mikoa mitatu yenye ahueni ya uchumi na Mwanza ipo kt ya mikoa mitano yenye hali mbaya kiuchumi....sasa inakuwaje watu maskini wanapandisha mkoa mpaka namba nne kwa kodi? Hapo utagundua kuwa Mwanza city ndo inayochangia 98% ya makusanyo ya mkoa, arusha pale mjin kat hakuna kitu, tanzanite na tourism attraction ndo vinabeba ambavyo havipo pale mjini kat...ila vinaingizwa kwenye mapato ya mkoa, kuanzia tanzanite mpak mbuga za wanyama, kuna lodge nying tu nzur zpo nje ya mji na zingine mbugani...mkoa Wa mwnza hauna kingine zaid ya biashara inayofanyika mjini kat, per day watu takriban lak saba huingia na kutoka kwa ajil ya biashara...hakuna hotel ya maana nje ya jiji, makusanyo ya kodi ya mkoa yamebebwa na mji, Hvyo mji hautegemei wakazi Wa mkoa cjui umenielewa....
Evelyn Salt ww ni mpenz wangu ila kwa hili sita ku spare sasa arusha hamna uwanja wa ndege zile pale kisongo ni njiwa au kunguru wa zanzibar eti bbyCha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Na kiwanja cha KIA kipo mpkani mwa arusha na kilimanjaroUwanja wa KIA ulijengwa mahsus kwa ajili ya utalii wa Moshi na Arusha.. so kiwanja kipo.. kile cha pale kisongo ni cha ndege ndogo..
Tutakijenga hata kwa mrombooMkuu hilo najua ndio mana nkamwambia arusha huwezi kujenga uwanja mkubwa mana tambarare ni sehemu ndogo sana
Hv arusha na dar ipi chafu wewe? Dah ukifika tu chalinze ukiwa unakuja dar unaanza sikia hewa yenye joto na harufu kali ya shombo la samaki hapo ujafika sasa dar yenyewe.Jiji halijapangiliwa kabisa at least njiro, moshono,sakina
Nenda kijenge,ungaltd matejo,eso daraja2 na kwingine utashika kichwa unplaned + uchafu mzee
Sasa kwa mrombo yote plus mukono kumejaa nyumba zimejenga itakua ngumuTutakijenga hata kwa mromboo
Arusha inayo zaidi ya double road hii ni mojawapo.Arusha hakuna double road jiji gani hilo bora hata Iringa kuna double road mji wote umejaa barabara za uchochoro
[emoji23] [emoji23] huu mnyoosho sio wa kawaida.Arusha inayo zaidi ya double road hii ni mojawapo.
Hapo bado pedestrian walk side, road lights, traffic signs na reflectors tufunge business.
Umenijibu kimahaba hadi raha, ungekua hunipendi ningekukoma leoEvelyn Salt ww ni mpenz wangu ila kwa hili sita ku spare sasa arusha hamna uwanja wa ndege zile pale kisongo ni njiwa au kunguru wa zanzibar eti bby
Nimebahatika kuchungulia projects za halmashauri ya jiji is just the matter of time Arusha inaenda kubadilika sana hasa kwenye miundombinu.Hv arusha na dar ipi chafu wewe? Dah ukifika tu chalinze ukiwa unakuja dar unaanza sikia hewa yenye joto na harufu kali ya shombo la samaki hapo ujafika sasa dar yenyewe.
Pale kisongo Jana professor Mbarawa ameambiwa na manager wa uwanja Arusha airport ina flights 110 kwa siku.Umenijibu kimahaba hadi raha, ungekua hunipendi ningekukoma leo
Vile vindege vya watu kumi huwa vinaenda safari za wapi?Pale kisongo Jana professor Mbarawa ameambiwa na manager wa uwanja Arusha airport ina flights 110 kwa siku.
Chato [emoji27]Vile vindege vya watu kumi huwa vinaenda safari za wapi?