Nilichogundua kuhusu Arusha

Tatizo wakija Arusha wanaishia Stand na Unga Limi
Kama ningekuwa baba jessy, cha kwanza kabisa baada ya kuingia ikulu ya magogoni, immediately ningetangaza Arusha ndio mji mkuu wa tz.
 
Arusha barabara zikikamilika itatisha sana. Itabaki kuzidiwa population tu na Mwanza.
Kweli hii ya Arusha-Holili na Arusha bypass ambazo zipo kwenye kasi zitabadilisha taswira ya jiji na zimeshaanza kubadilisha.
 
Umeelezea jiji la Arusha ama Mkoa wa Arusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…