Nilichogundua kuhusu Arusha

Hzo apartments ulizoweka ni michoro/renders not real photos...so ulijarbu kucheat then ukachepukia kwenye mashindano ya bike na magari
Hahaaa mashindano ya baiskeli pia kuna mashindano ya safari lager kupiga makasia.mimi hom ni mwz ila kuna vitu vingi jiji la mwanza limekosa mall arusha ziko tatu n hotel za kitalii ndio za kumwaga hapo ndio utaona utaona utofauti mkubwa n mwz
 
Fisadi kuu mbna umeniletea mburura sana...daaah we ni mshamba kwel kwel ngoja nikalale....najua Chuga kuna vitu vizur...tafuta tafuta bas....sio kutuletea pagale za kawaida sana hata mosh zipo za kumwaga

Slowly kuna shida sana kuelimisha.mijitu inayozungukwa na nyumbu kila upande.

Hata meno yakiwa yameoza utaambiwa eti ya dhahabu😀😀😀😀😀😀
 
We utakuwa unaumwa, njoo utibiwe Bugando, Bugando ni mlimani na maji yanapatikana mda wote.
 
Kwanza umechanganya.. Huyo aliyepost hiyo sio mimi... Alafu kama Moshi zipo nyingi basi ni vyema kabisa. North Empire..

Sasa tuwekee pagala la kishamba kama hilo kutoka Mwanza... Nitakufa hapa hapa...
Hzo nyumba mnazopost ni za wazungu wanaoish Chuga.. cse wanapenda kujenga kwa mtindo huo....ndo mana kwa tz hzo nyumba utazikuta Chuga, mosh, even mfindi kule iringa kwenye tea estate utazikuta...hii ni kwa sababu ya hali ya hewa.....hata baadh ya wabongo pia wanazo.....but sio kwamba mikoa ambayo haina hal ya hewa kama hyo haina nyumba nzur...zpo tena sana modernised
 

Ukiacha.mahotel ambayo.wala hayapo mjini bali yanatumiwa na wazungu wanaokuja kushangaa nyumbu arusha hakuna hotel kamji kenyewe ka kuungaunga.
 
Kwahiyo Arusha hakuna traffic lights???
Kweli wewe kapuku wa kutupwa hats Arusha hujawahi fika fanya mpango uje kuhiji huku we mlalahoi.

Arusha zipo traffic lights zaidi ya 6 mjini.
Yaani kama mwenge-bamaga-sayansi-moroko-namanga-st peter's ndio traffic light kwenye jiji zima la arusha? yaani barabara ya ali hassan mwinyi ina traffic lights nyingi kuliko mji mzima wa arusha?!
 
Ahahahaa atatoa wapi cha kuweka kila kona vyoo vya majamvi na masalfeti Mwanza hawana tofauti na India kwenye vyoo kwao hill ni jambo la anasa.
Ongezea na hz...hyo ni Capri point tuu bado cjakupeleka bwiru kwa watasha

 
Hahahaha
Walijazana ukurugenzi na ukamishna wakahalishia miradi mingi kwao.

Walivyokuwa hawana aibu hata arusha air strip wanataka iwe int airport wakati KIA nayo wanadai ni yao.
 
Huwez ringishia stend ya arusha kwa Mwanza ndo mana nikasema we ni mshamba hujui lolote...kwa mtu Wa Chuga aliyeishi Mwanza anajua vitu vya kutishia kwa Mwanza ni mahotel na appartment
Hivi nyegezi nayo ni stand kweli??
Na lile kundi la wakata tiketi kama nzige ni la mini?
Stand ya ngudu IPO nyegezi hivi unaweza kufananisha Yale mazingira na stand ya Arusha?
 
Yaani kama mwenge-bamaga-sayansi-moroko-namanga-st peter's ndio traffic light kwenye jiji zima la arusha? yaani barabara ya ali hassan mwinyi ina traffic lights nyingi kuliko mji mzima wa arusha?!
Maana ya traffic lights ni control ya traffic congestion mfano flyovers za ubungo zikijengwa hakutakuwepo traffic lights pale the same to TAZARA pakikamilika hautaona traffic lights pale.

Arusha zipo maeneo 6 yenye traffic congestion tu.

Mwanza IPO 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…