Hakuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota 5 hata mt meru yenyewe ina hadhi ya nyota 4,kama ipo itajeUmesahau samaki wa kuokwa pale nick pub,cenema updates pale bugharuu njiro arachuga no sheeda ukiwa na baghee.sio unakuja na lorry la mkaa na vijisent uchwara utaijua stand tu mkuu
Hakuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota 5 hata mt meru yenyewe ina hadhi ya nyota 4,kama ipo itajeUmesahau samaki wa kuokwa pale nick pub,cenema updates pale bugharuu njiro arachuga no sheeda ukiwa na baghee.sio unakuja na lorry la mkaa na vijisent uchwara utaijua stand tu mkuu
Mfano wa mwana hip hop anayeimba kwa kutukana!? Acha kudandia vitu usivyo na uelewa navyo utapoteaHip pop gan ya kutukana tuuu
Vipo ila sio mjini labda njia ya kwenda makuyuni pia naona kuwepo kwa kia ndio mana uwanja wa arusha hawajengi mpyaSijakuelewa ndugu, hakuna tambarare ya kujenga kiwanja kikubwa cha ndege Arusha? Mbona zipo kibao, na kama ni vilima vinasawajishwa tu.
Mwana hip hop gan hapo chuga wa kimfikia hata fid Q kwa mashair.. .huyo joh makin anapewa air tym kwa mashair ya kutungiwa.....nik wa pili meenyewe mashair hayana mvuto mda wote kusifia mademu tuuu... Dogo janja ameiga waganda sa hv...ni copy and paste...hamna kitu kule zaid ya bangi...na mpaka wazungu waje ndo mnamake money...wakishake kdogo tuu wote mnashindia michichaMfano wa mwana hip hop anayeimba kwa kutukana!? Acha kudandia vitu usivyo na uelewa navyo utapotea
Yaani nimeshindwa hata kukudefine, nimekuuliza ni mwana hip hop gani anayeimba matusi hebu nijibu acha kuleta porojo ambazo sijakuulizaMwana hip hop gan hapo chuga wa kimfikia hata fid Q kwa mashair.. .huyo joh makin anapewa air tym kwa mashair ya kutungiwa.....nik wa pili meenyewe mashair hayana mvuto mda wote kusifia mademu tuuu... Dogo janja ameiga waganda sa hv...ni copy and paste...hamna kitu kule zaid ya bangi...na mpaka wazungu waje ndo mnamake money...wakishake kdogo tuu wote mnashindia michicha
Nan amekwambia mwanza in shida ya watalii....arusha ndo inategemea flow ya tourism sio mwanzaMwanza wanadhani watalii wataenda kushangaa watu wanavyoishi na mawe huko milimani kama vyura.. Mtalii gani akashuke Mwanza??
Vipi huko mnakulaga mapanki tu... Kule milimani vyoo hamna wanaenda hara ziwaniNan amekwambia mwanza in shida ya watalii....arusha ndo inategemea flow ya tourism sio mwanza
Hebu acha porojo, nijibu kama nilivyokuulizaMwana hip hop gan hapo chuga wa kimfikia hata fid Q kwa mashair.. .huyo joh makin anapewa air tym kwa mashair ya kutungiwa.....nik wa pili meenyewe mashair hayana mvuto mda wote kusifia mademu tuuu... Dogo janja ameiga waganda sa hv...ni copy and paste...hamna kitu kule zaid ya bangi...na mpaka wazungu waje ndo mnamake money...wakishake kdogo tuu wote mnashindia michicha
Ukiacha utalii arusha n mkoa wa pili kwa viwanda baada ya dar...!mwanza haiisogelei arusha kwa lolote...kodi inayokusanywa arusha n mara ya mbili ya inayokusanywa mwanza...!Nan amekwambia mwanza in shida ya watalii....arusha ndo inategemea flow ya tourism sio mwanza
Hiyo wala sio Ngurdoto Arusha zipo hotels na Lodge mamia hivyo usikariri.Hahaha picha ya kpind kile cha ngurudoto "now open" Hugo alisema hayo ili kubrain wash mnyuko wa utalii tz.... Stay tuned kuwa devil city
Hahahaaa express toilets za mabatini na ilemela.Vipi huko mnakulaga mapanki tu... Kule milimani vyoo hamna wanaenda hara ziwani
Dah vunga basi mama mkubwa vitu vingine sio kabisa ,Inamaana hakuna ndege za abiria zinazotua Arusha ? PW zinatua KIA peke yake ?Nadhani wewe ndo mjinga kuliko badala uje na point zako unakuja kunijadili mie ,Lumumba Lumumba unadhani kila alie against ni mfuasi wa hizo siasa uchwara ovyooo
Kwani ni uongo Arusha haitegemei uwanja wa KIA? au hicho kiuwanja cha kisongo ni cha dingi ako make umekua mkali kama umekalia kitu chenye ncha Kali
Mpe facts huyo hajielewi watu wanapiga virgin cash madollar watalii wanamiminika yeye anaongelea kutoka BUHONGWA mambo ya Geneva.Usiongee kitu usichokijua...kama ni ushabiki mandazi pekeka huko..mwezi august pekee utalii hapa umeingiza bili 11..mwezi wa nane mwaka jana ilikuwa ni bil 7..so mwaka huu utalii uko mbele kwa 25% kulinganisha na mwaka jana...
Uwanja wa ndege wa arusha upo kisongo nje kidogo ya mji wa arusha. Una milki ya eneo kubwa kiasi kwamba endapo ukiboreshewa miundombinu unaweza kuwa na hadhi ya kimataifa. Ila kwa sasa zinatua ndege ndogonna za wastani hasa zile za watalii na upo busy. Si kweli kwamba ars hakuna uwanja wa ndege. Kumbuka mwaka jana wakati ndege kubwa ya ethiopian air line rubani alijichanganya na kutua arusha airpport badala ya KIA japo kwa udogo wa run way ilienda kutua nje ya lami.Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Nenda kisongo upoCha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Eneo la uwanja wa ndege wa arusha kwa maana ya ukubwa ni wa kutosha mkuu. Tatizo ni miindombinu. Kuna kipindi wakazi wa jirani walihamishwa ili kupisha eneo la uwanja kwani walikuwa wamevamia. Ishu ni miundo mbinu ila eneo ni kubwa na tambarare nibya kutosha.Mkuu hilo najua ndio mana nkamwambia arusha huwezi kujenga uwanja mkubwa mana tambarare ni sehemu ndogo sana