Nilichogundua kuhusu Arusha

Dah yaani sijaona watu wanaoishi town washamba kama Mwanza yaani Mwanza ni busy village.
Huo ni mtazamo wako....mji unamove kwa stail hyo ambayo we unaita ushamba at da same tym unaish kwenye nyumba ya kupanga...badly slums..... Endeleeni kufilisika nyumbu nyie
 
Kuhusu uwanja wa ndege huo n mpango wa serikal hawatak kuuboresha huo wa kisongo ili watalii wawe wanashukia KIA na kwenda kwanza mlima kilimanjaro,ili waktoka huko ndo waje arusha
Utalii gan Chuga wewee...hakuna utalii Kule sa hv.......
 
Sku so nyingi eeh..yetu macho...hela zote zinaenda kwenye viwanda...no more safari city construction
 
Hahaha picha ya kpind kile cha ngurudoto "now open" Hugo alisema hayo ili kubrain wash mnyuko wa utalii tz.... Stay tuned kuwa devil city
 
Ukunegotiate na mdada ata mmoja hapo shiver au mrina na kumfanya blanket chapa mtu
 
Utalii gan Chuga wewee...hakuna utalii Kule sa hv.......
Usiongee kitu usichokijua...kama ni ushabiki mandazi pekeka huko..mwezi august pekee utalii hapa umeingiza bili 11..mwezi wa nane mwaka jana ilikuwa ni bil 7..so mwaka huu utalii uko mbele kwa 25% kulinganisha na mwaka jana...
 
Umesahau samaki wa kuokwa pale nick pub,cenema updates pale bugharuu njiro arachuga no sheeda ukiwa na baghee.sio unakuja na lorry la mkaa na vijisent uchwara utaijua stand tu mkuu
 
Usiongee kitu usichokijua...kama ni ushabiki mandazi pekeka huko..mwezi august pekee utalii hapa umeingiza bili 11..mwezi wa nane mwaka jana ilikuwa ni bil 7..so mwaka huu utalii uko mbele kwa 25% kulinganisha na mwaka jana...
Mwanza wanadhani watalii wataenda kushangaa watu wanavyoishi na mawe huko milimani kama vyura.. Mtalii gani akashuke Mwanza??
 
Hapo inawauma kweli kusikia hayo hahahahaha...
 
Acha uKIAzi. Kisongo ni Uwanja wenye ndege nyingi ndogo na hiyo ni Kwasababu ina runway fupi. Uwanja huo upo una ndege nyingi kuliko KIA. Lakini ndege ndogo
Ukiazi ndio nini........?
 
Usiongee kitu usichokijua...kama ni ushabiki mandazi pekeka huko..mwezi august pekee utalii hapa umeingiza bili 11..mwezi wa nane mwaka jana ilikuwa ni bil 7..so mwaka huu utalii uko mbele kwa 25% kulinganisha na mwaka jana...
Nan asiyejua utalii sa hv chuga umekauka.....mpak hotel zinauzwa af unatuletea takwimu za serikali ya mwendo kasi.... Haya ndo mambo ya bandar kukauka mizigo af mnatwambia bandar ipo shwar na mapato yamevuka lengo
 
Uwanja upo hata ethiopian airline ilitua kwa dharura.huwezi kujenga kiwanja kikubwa kuliko hichi kilichopo hakuna tambarare hiyo
Sijakuelewa ndugu, hakuna tambarare ya kujenga kiwanja kikubwa cha ndege Arusha? Mbona zipo kibao, na kama ni vilima vinasawajishwa tu.
 
Dah...ina maana kwa maneno ya moja kwa moja kwamba wakati wote wa Arusha ni vilazer sana ...yaani miaka yote hii wameshindwa kugundua haya mambo hadi wewe ufike?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…