Nilichogundua kuhusu Arusha

Vitu vya msingi vipi ndugu Terrence?? Viweke hapa ili tuvijibie
 
Ona sasa mtu mzima unanizidi miaka 50 afu unaleta utoto aagrrr shkamoo kwanza....
Hoja hujibu unaruka ruka tu ,nishasafiri mara mbili nakata tiketi za precision kwenda mwanza ila tunapanda costa hadi KIA sasa kwanini hatuanzii safari Arusha?????

Sasa kwani kuna distance gani ya kutokea chuga hadi KIA, sasa unadhani KIA ingekuwa Arusha, Kilimanjaro wangekuwa na air port gani. Kuna shortcut ya kutokea chuga hadi KIA, unapita old moshi road iyo inapita huku kwa chini ya moshono, chini ya tengeru, usa river hadi mbuguni ambapo unachipukia mahali unatokea kia, same road inafika hadi Moshi, tatizo haina lami tu ila ndio ilikuwa ikitumika zamani. Issue ni kwamba Moshi wasingekuwa na airport. Distance si kitu, kuna majiji unatembea humo ndani umbali wa dsm to moro, watu nowdays wanafanya kazi moshi wanaishi arusha and vice versa.
 
Mkuu kuna vitu Chuga hata dar haioni ndani...shida tu ni kuwa havipo collectively
 
cc: FisadiKuu
 
Waliojenga hicho kiwanja wana akili sana. Ndege wawili kwa jiwe moja. Yaani mtalii anaetaka kwenda Kilimanjaro/Arusha wanashukia sehemu moja.
 
Maneno mengi tu lakini TZ mji ni mmoja tu. DAR ES SALAAM. Huko kwingine sijui hali ya hewa sijui milima sijui simba ndo vitu gani? Huko ni porini, jiji kwa TZ ni Dar tu, kiasi na Mwanza.
Mkuu we umenena. Dar ndio kila kitu. Anyway ngoja niangalie ligi ya watu wa Mwanza na Arusha hapa maana kila siku wanatunishiana ubavu
 
Ha ha ha watanivutia bangi leo
 
Arusha ingekuwa mbaya na si ya maana msingekuwa mnaanzisha nyuzi humu kila siku, Arusha tuachieni wenyewe wana Arusha.. A cit kila mwenye akili timamu anaitamani washamba tu ndio wanaoiponda wamezoea miji yenye kelel za vigodoro kila uchao, muulizeni huyo mademe wanu Wema mbana kila mara anakuja arusha kula raha na si kuchezesha vigoma vyake? Huko anawachuna pesa anakuja kuileta Arusha, the city to stay.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…