Nilichogundua Dr. Mashinji ni mfanyakazi hewa

Mundamushimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
757
Reaction score
434
Ukweli huyu katibu hafai ni jibu ambalo limeiva linahitaji mtumbuaji tu. Haiwezekani tangu ateuliwe yeye ni porojo tu anaua chama. Iweje apitwe ufahamu na katibu wa TLP aliyeitisha mkutano mkuu na kuwa na azimio lenye uhai wa chama la kuunga mkono mgombea Urais wa CCM. Mashinji hufai tuungane tumn'goe huyu.
 
Mashinji nae ni kama utawala wa tangu Uhuru aisee...maana miaka yote bado maskini,magonjwa,maradhi,madeni ,njaa,nk
 
Ukweli huyu katibu hafai ni jibu ambalo limeiva linahitaji mtumbuaji tu. Haiwezekani tangu ateuliwe yeye ni porojo tu anaua chama. Iweje apitwe ufahamu na katibu wa TLP aliyeitisha mkutano mkuu na kuwa na azimio lenye uhai wa chama la kuunga mkono mgombea Urais wa CCM. Mashinji hufai tuungane tumn'goe huyu.
Huyo ni controlled ,remote imeshikwa na Mbowe,msamehe bure
 
Kambi ya Mheshimiwa Mbowe mmeanza kampeni to discredit Dr Mashinji aka "kyasaka". Chadema mnasikitisha sana. Njooni CCM tujenge nchi. Hakuna upinzani Tanzania bali kuna magenge ya kikabila na kidini na kisaliti ya waganga njaa.
 
Ukweli huyu katibu hafai ni jibu ambalo limeiva linahitaji mtumbuaji tu. Haiwezekani tangu ateuliwe yeye ni porojo tu anaua chama. Iweje apitwe ufahamu na katibu wa TLP aliyeitisha mkutano mkuu na kuwa na azimio lenye uhai wa chama la kuunga mkono mgombea Urais wa CCM. Mashinji hufai tuungane tumn'goe huyu.
Overgrown green baboon at work.
 
Malizeni ishu ya Membe kwanza ndiyo mrukie huku. Hivi wenzetu huko mna akili timamu kweli? Mbona mada zenu zimekaa kikameruni zaidi?
 
Hapa mada ni Dr. Mashinji ni jipu, atumbuliwe anapokea mshahara bila kufanya kazi yupo yupo tu, anza na hilo kwanza.
 
Ukweli huyu katibu hafai ni jibu ambalo limeiva linahitaji mtumbuaji tu. Haiwezekani tangu ateuliwe yeye ni porojo tu anaua chama. Iweje apitwe ufahamu na katibu wa TLP aliyeitisha mkutano mkuu na kuwa na azimio lenye uhai wa chama la kuunga mkono mgombea Urais wa CCM. Mashinji hufai tuungane tumn'goe huyu.
WATANZANIA TUMEKUWA TUNACHEZA SANA NA THEORY ZA KUONGOZA MIFUMO YA NCHI IKIWA NI PAMOJA NA KUONGOZA SEKTA MBALIMBALI NA KUJIPA MAISHA MAGUMU BILA SABABU ZA MASINGI JAMBO LA KUJIULIZA NINI MAANA YA SEKTA BINAFSI KATIKA UANDAAJI WA SERIKALI YA VIWANDA?

PRIVATE SECTOR NI MAAMUZI YA KUONGOZA TAASISI AU PRIVATE SECTOR NI FEDHA (MISHAHARA) ZA KUONGOZA TAASISI?

MFANO
TPDC
STAMICO
MRI
TANROAD

HAKIKA HAKUNA ANAYEINGILIA MAAMUZI YA STAMICO, TANROAD N.K IKIWA NI KULIPA FIDIA? KUELIMISHA JAMII>>>> N.K

KILA LA KHERI KATIKA MAPAMBANO YA MITAJI ISIYO FIKIWA KWA KIZINGIZIO CHA PRIVATE SECTOR...

KWA MUJIBU WA RAISI MWANAMKE LIBERIA UJAMAA ULIOELIMIKA NDIO UMESHINDA.... TUTAWAJIBU TU

HALMASHAURI YA KICHWA (AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKWAKO/MBAYUWAYU)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom