Akili 7
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 731
- 1,424
CcmNikumbusheni Mashinji ni katibu wa chama kipi?[emoji4]
CcmNikumbusheni Mashinji ni katibu wa chama kipi?[emoji4]
Kama unasema hafanyi kazi ya CCM nani ya Chadema uko sahihi, lakini sisi tuliompa kazi ya Ukatibu Mkuu wa Chadema tunajua na tunathamini kazi anayofanya,kifupi Mashinji anawajibika Chadema na siyo CCM.Hapa mada ni Dr. Mashinji ni jipu, atumbuliwe anapokea mshahara bila kufanya kazi yupo yupo tu, anza na hilo kwanza.
Mnatetea ufisadi ndicho kilichobaki kwenye lichama lenu, utalipaje mshahara mtu asiye fanya kazi?Kama unasema hafanyi kazi ya CCM nani ya Chadema uko sahihi, lakini sisi tuliompa kazi ya Ukatibu Mkuu wa Chadema tunajua na tunathamini kazi anayofanya,kifupi Mashinji anawajibika Chadema na siyo CCM.
Ushauri wa bure tu juu ya mashinjiKama unasema hafanyi kazi ya CCM nani ya Chadema uko sahihi, lakini sisi tuliompa kazi ya Ukatibu Mkuu wa Chadema tunajua na tunathamini kazi anayofanya,kifupi Mashinji anawajibika Chadema na siyo CCM.
Unataka aweje? Kama mama yako anamkubali wewe ni nani?Hapa mada ni Dr. Mashinji ni jipu, atumbuliwe anapokea mshahara bila kufanya kazi yupo yupo tu, anza na hilo kwanza.
Mbona hueleweki umelazimishwa kuwapa pole.CCM TUACHE MAMBO YA KIPUMBAVU, YA KWETU YAMETUSHINDA TUNAINGILIA YA CHADEMA.
SASA CCM WOTE TUMEUFYATA, CHAMA KINAONGOZWA NA MUNGU MTU MMOJA, JIWE KUTOKA CHATO. WOTE NI KUSIFU NA KUABUDU.
YAANI CHADEMA NDIO WANATUSAIDIA KUWAPA POLE NAPE, KINANA NA JANUARI. Ahsanteni CHADEMA kwa kuonyesha utu. Siasa SIO mabunduki NA kutekana, siasa ni hoja.
Ndicho kilichobaki matusi ndio sera mbadala za Chadema.Unataka aweje? Kama mama yako anamkubali wewe ni nani?
Ukweli huyu katibu hafai ni jibu ambalo limeiva linahitaji mtumbuaji tu. Haiwezekani tangu ateuliwe yeye ni porojo tu anaua chama. Iweje apitwe ufahamu na katibu wa TLP aliyeitisha mkutano mkuu na kuwa na azimio lenye uhai wa chama la kuunga mkono mgombea Urais wa CCM. Mashinji hufai tuungane tumn'goe huyu.
Nani kakwambia aje CCM mtu kama huyo hafai hata kuwa katibu wa maandalizi ya mazishi.Yaani ni kwamba AUNGE JUHUDI ZA RAIS!?
Akifanya hivyo ndio atakua Katibu Mkuu Bora kwako?
Mbona mna vituko sana nyie majamaa?
Duh
Nani kakwambia aje CCM mtu kama huyo hafai hata kuwa katibu wa maandalizi ya mazishi.
Wewe ni mwanachama hai wa CHADEMA?Ukweli huyu katibu hafai ni jibu ambalo limeiva linahitaji mtumbuaji tu. Haiwezekani tangu ateuliwe yeye ni porojo tu anaua chama. Iweje apitwe ufahamu na katibu wa TLP aliyeitisha mkutano mkuu na kuwa na azimio lenye uhai wa chama la kuunga mkono mgombea Urais wa CCM. Mashinji hufai tuungane tumn'goe huyu.
Eti alikuwa anataka ku balance shobo za ukanda na ukabila ndio akaamua amchague huyo jamaa.Aliyemchagua sijui aliona Nini kwa huyu mtu? naunga mkono hoja ya mtoa mada.
Mdomo wako unanuka piga mswaki kwanza ndio uje uandike. Dr. Mashinji ondoka ni mtumishi hewa.Wewe ni mwanachama hai wa CHADEMA?
Kama sio nakushauri punguza nyege utaliwa jicho kwa kuhangaika na yasiyo kuhusu.
Nimekushauri tu ipo siku utakumbuka maneno haya!
Kambi ya Mheshimiwa Mbowe mmeanza kampeni to discredit Dr Mashinji aka "kyasaka". Chadema mnasikitisha sana. Njooni CCM tujenge nchi. Hakuna upinzani Tanzania bali kuna magenge ya kikabila na kidini na kisaliti ya waganga njaa.
Unawapa pole Gani akati bado ni wanaCCM na bado ni Wabunge na Kinana ni Katibu Mkuu Mstaafu...CCM TUACHE MAMBO YA KIPUMBAVU, YA KWETU YAMETUSHINDA TUNAINGILIA YA CHADEMA.
SASA CCM WOTE TUMEUFYATA, CHAMA KINAONGOZWA NA MUNGU MTU MMOJA, JIWE KUTOKA CHATO. WOTE NI KUSIFU NA KUABUDU.
YAANI CHADEMA NDIO WANATUSAIDIA KUWAPA POLE NAPE, KINANA NA JANUARI. Ahsanteni CHADEMA kwa kuonyesha utu. Siasa SIO mabunduki NA kutekana, siasa ni hoja.