Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
-
- #41
πππ ni Laima mkuu.Hauna baya tajiri πΉπΉ
Ila ni Rahma au Laima?
Au basi tuendelee hivyo hivyo muhimu chai inanyweka πΉ
Karibu mkuu.Nimeweka siti kumsoma Laima hapa
Asante sanaKaribu madam
Maskini na mapenzi km mapacha..!! πΉπΉ
Neno moja sh 50, unataka paragraph ya maneno mangapi?ππNitafunie hayo madini aliyotema jamaa....tumia paragraph moja tu
Tuanzie hapa we ndio tajiri pekee unayechekeshaakijisikia anataka kucheka.
πππ umasikini una sumu mbaya mkuu.. haya ni madhara ambayo nimebaki nayo baada ya wenyewe kuondoka, ila naamini yataisha.Tuanzie hapa we ndio tajiri pekee unayechekesha
Kweli huna baya π€£
Kabisa mkuu.Shida sio kuachana na kusahau,ila shida inakuja namba yake ikiwa kichwani automaticπ
πππNeno moja sh 50, unataka paragraph ya maneno mangapi?ππ
Maneno 10 mwisho wa hiyo paragraph uweke account no kwajili ya payment.Neno moja sh 50, unataka paragraph ya maneno mangapi?ππ
πππManeno 10 mwisho wa hiyo paragraph uweke account no kwajili ya payment.
πππ si ndiyoπππ
Hutaki masihara kabisa!
Usiwaze ngoja nifanye mchakato apaManeno 10 mwisho wa hiyo paragraph uweke account no kwajili ya payment.
ππππππππMaskini na mapenzi km mapacha..!! πΉπΉ