Nilialika ukoo mzima kwenye graduation nikapata zerro

Nilialika ukoo mzima kwenye graduation nikapata zerro

Unaogopa nini wakati uliwaalika kwenye sherehe tu na c kwenye mtihani.
 
Sio mbaya km mlikula vizuri na wewe ndo Haki yako,maana Ingekuwa vibaya km ungekosa vyote.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka sana, ukute walikodi mpaka wale jamaa wa matarumbeta! Na jamaa wanakunywa hao balaa.. Anyway jina lako tu linaakisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom